International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndivyo tulivyokuwa tunapeana habari baada ya timu ya Russia kuondolewa kwenye mashindano hayo kwa kosa la kuivamia Ukraine Kijeshi, kwamba rais Putin ametangaza kuwa hakutakuwa na kombe la dunia...
2 Reactions
8 Replies
675 Views
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli, vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe...
11 Reactions
80 Replies
4K Views
Baada ya IRAN kuongelewa ivi karibuni kihusu Drone zake za Kamikaze na hivo kizua mijadara mbalimbali Duniani.. Imebidi tuje na Uzi maalumu utakaokua unaonesha Technology ya IRan ktk utengenezaji...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Tangu kuanza kutumika kwa Kamikaze drone ambazo zinatumiwa na Russia kuishambulia Ukraine na na miundombinu yake, imeibuka mijadara mbalimbali kuhusu aina hiyo ya silaha. Licha ya kwamba Ukraine...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup. Tulikubaliana siasa...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
KIBERA, Kenya – The Bill & Melinda Gates Foundation today announced two new grants totaling US$2 million for Kenyan HIV/AIDS prevention-focused initiatives. William H. Gates, Sr., co-chair of the...
12 Reactions
200 Replies
11K Views
Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington...
0 Reactions
5 Replies
942 Views
The United Kingdom has reiterated its support for the creation of new permanent seats in the United Nations Security Council (UNSC) for India, Germany, Japan and Brazil and also called for the...
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Marekani imeona inapoteza pesa za walipakodi kwa kuifadhili Ukraine ambayo haina uwezo wowote wakuishinda Russia zaidi inazidi kuvunjwa vunjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi. Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Tafsiri kutoka gazeti la ANI Uingereza imesisitiza uungaji mkono wake wa kuundwa kwa viti vipya vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa India, Ujerumani, Japan na...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah. Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones...
9 Reactions
166 Replies
6K Views
Baada ya Korea Kaskazini kurusha ICBM linaloweza kwenda kupiga kwa usahihi target ndani ya US juzi leo Marekani wamepeleka Supersonic B -1B Korea Peninsula...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
The West should do its best to prevent an escalation between Russia and NATO, German Chancellor Olaf Scholz said on Saturday, while stressing his belief that it is necessary to continue providing...
2 Reactions
4 Replies
446 Views
Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom