International Forum

News and Stories from rest of the World
WAKATI RUSSIA YUKO BIZE NA KISHAMBULIA MIUNDOMBINU YA UMEME NA MAJI... UKRAINE WAENDELEA KUTEMBEZA KICHAPO...WAWAFUATA RUSSIA NG'AMBO YA MTO HUKO HUKO WALIPO It’s official: Ukrainian commandos...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Imeripotiwa kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim amemuua Jenerali wake mmoja kwa kumtupia kwenye tenki lililojaa samaki aina ya Piranha kwa tuhuma za kutaka kumpindua, inadaiwa Jenerali huyo...
5 Reactions
52 Replies
9K Views
Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918... Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran. Iran bwana...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
Takwimu zimeonesha kuwa China imerekodi maambukizi mengi zaidi kuwahi kutokea tangu mlipuko wa virusi hivyo ulivyotokea, majiji ya Beijing na Guangzhou yakiwa vinara kwa walioambukizwa. Hadi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni baada ya kukamilisha hatua yake ya kukomesha uwepo wake wa kijeshi wa miaka 10 nchini humo na kuishutumu Mali kuwa na Ushirikiano na Kundi la Wagner linalosemekana kuwa mamluki wa Russia Hatua...
2 Reactions
69 Replies
3K Views
Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Na Gianna Amani Inawezekana kuwa hujui hili lakini taarifa za kihistoria zilizopo zinaeleza kuwa chai na kinywaji cha chai asili yake ni nchini China na Myanmar na jambo la kushangaza zaidi...
4 Reactions
7 Replies
624 Views
The M23 rebels have cut off all major supply routes for Ugandan and Kenyan goods to the city of Goma, in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC). This has caused financial losses to the two...
2 Reactions
8 Replies
799 Views
Katika Mkutano wa 17 wa Kilele wa Viongozi wa Kundi la Nchi 20 (G20) uliomalizika hivi karibuni nchini Indonesia, Rais Xi Jinping wa China, kwa niaba ya China, kwa mara nyingine tena, alieleza...
2 Reactions
3 Replies
691 Views
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini. Maandamano bado...
1 Reactions
4 Replies
575 Views
Mwandishi E Jean Carroll amemshtaki Rais wa Zamani, Donald Trump kwa madai ya kumbaka katika Miaka ya 1990, pia ameshtaki kwa kumkashifu baada ya kumshutumu kwa kusema uwongo alipojitokeza kuhusu...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano kuhusu mjadala wa mapendekezo ya mageuzi ya uchaguzi ambapo wabunge walikuwa wakibishana suala la kuzingatia uwakilishi sawia katika uchaguzi ujao wa...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Huko South Korea kuna picha zimeonekana bwana kiduku akimpleka binti yake sehemu ya kurusha makombora. Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na samaki mkunje kabla hujamkaanga. Mtoto huyu inaonesha...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Mahakama ya Kijeshi imetoa adhabu hiyo kwa Afisa wa Polisi aliyekutwa na hatia ya kumchoma Visu Mfanyabiashara Abdifatah Abdullahi Ali hadi kusababisha kifo chake Hukumu imesomwa na Meja Mohamed...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Na Gianna Amani Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa...
1 Reactions
1 Replies
684 Views
New WHO pandemic treaty which is in final stages, would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World, warns Dr. Francis Boyle Tuesday, November...
1 Reactions
1 Replies
665 Views
Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Back
Top Bottom