International Forum

News and Stories from rest of the World
Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya...
13 Reactions
73 Replies
7K Views
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la...
0 Reactions
1 Replies
493 Views
Hali ni mbaya kwa Putin, ujasusi anaofanyiwa na mashirika ya ujasusi ya nchi za magharibi unazidi kumpa wakati mgumu sana na kufanya mipango yake izidi kukwama nchini Ukraine...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna mlolongo mrefu sana ili Mabomu ya nuclear yatumike. Sio maamuzi ya mtu mmoja, wawili, watu tu hapana. Kunahitaji maamuzi ya kina na ya watu wengi. Bado rais wa nchi kama Putin hana maamuzi...
1 Reactions
7 Replies
679 Views
Ukrainian President Volodymyr Zelensky has poured scorn on Russian claims they are using laser weapons to wage war in his country. The Ukrainian leader mockingly compared them to the so-called...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao. Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mahakama ya Kijeshi imemhukumu Blaise Compaore aliyeongoza Nchi hiyo kuanzia Oktoba 1987 – Oktoba 2014 kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji ya 1987 ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais Vladimir Putin amesema Urusi inalazimika kuangalia kwa karibu mauzo yake ya chakula kwa nchi zisizo rafiki kwani vikwazo vya Magharibi vimechochea janga la chakula duniani na kuongezeka kwa...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni...
13 Reactions
70 Replies
3K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa anaamini kushindwa kufanikisha mazungumzo ya kumaliza uvamizi wa Urusi kutamaanisha "vita vya tatu vya dunia". Akizungumza na CNN Jumapili...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Nikiri tu wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi katika harakati za kumnyoosha mchekeshaji yule na ma bwana zake. Hata hivyo, mpaka sasa pamoja na mafanikio ya Urusi hususani kuyateka majimbo ya...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Ukraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zengu wenzangu wanaJF. Kwa staili tumekuwa tunazugwa kuhusu ukraine ni cha mtoto kulinganisha na hili nnalowaletea wenzangu. Nivumilieni mapicha mengi ila nataka mtambue picha halisia -...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Ukiona mbwa wako anakubwekea jua ameshapata mwingine anae mlisha..... Chochote watakacho fanya Ukraine kwa mafanikio uwanja wa mapambano utasikia majibu yetu ya pro rusia ni 1. Propergandar 2...
1 Reactions
8 Replies
685 Views
Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jenerali Tefera Mamo anadaiwa kuondoka nyumbani kwake Addis Ababa na kukutana na rafiki yake Mei 16 2022 lakini hakurejea, huku ndugu wa Jenerali huyo mashuhuri wa jeshi wakibaki kuhofia usalama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi... Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang. Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya...
2 Reactions
3 Replies
980 Views
Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Back
Top Bottom