International Forum

News and Stories from rest of the World
Makampuni ya China yameanza kulikimbia soko la Urusi kutokana na Vikwazo vya Kiuchumi ambavyo Urusi imewekewa na nchi za Magharibi. Makampuni hayo Ni Pamoja na Lenovo, Xiaomi, Alibaba, Exim Bank...
16 Reactions
55 Replies
4K Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amewashutumu baadhi ya Viongozi wa Serikali kwa kwa kuwa na mitazamo hasi na kuonesha uzembe wakati huu ambapo Taifa hilo limethibitisha maambukizi Tangu...
1 Reactions
8 Replies
924 Views
Kuna kundi la watu muhimu sana walikuwemo Azovistal. Hasa international mercenaries. Wamewekwa kwenye magari maalumu na kusafirishwa kuelekea Urusi. wale wa Ukraine wame sindikizwa mbele kifaru...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Waziri wa mambo ya nje ya Urusi Sergei Lavrov amesema kuwa Finland na Sweden wakijunga na umoja wa NATO hakutakuwa na tofauti yoyote na hali ilivyo sasa sababu nchi hizo zinashiriki mara kwa mara...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Rais Umaro Sissoco Embalo amelivunja bunge la Guinea-Bissau na kusema uchaguzi wa mapema wa bunge utafanyika mwezi Desemba mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mrefu. Alisema...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Zoezi la kuondoa Wanajesh waliojeruhiwa linaendelea hivi sasa Azovstal. Ni baada ya Wanajeshi 10 wa Ukro-Nazi waliojisalimisha kufanya makubaliano na jeshi la Urusi kuwaondoa kwenye maandaki ya...
16 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kijana Payton Gendron, 18, ambaye aliwaua watu 13 kwa kuwafyatulia risasi, 10 kati yao wakiwa wenye rangi nyeusi inaelezwa alipanga kufanya mauaji zaidi kama angetoroka eneo la tukio Jijini New...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi. Biden na...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Baada ya watu 10 kuuawa katika shambulio linalotajwa kuwa la kibaguzi huko Buffalo Jijini New York, Mamlaka zimesema Mtuhumiwa aliwekwa kizuizini mwaka 2021 na kufanyiwa tathmini ya Afya ya Akili...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Russia imefanya jaribio la kombora la nuclear, ambalo Rais wa Nchi hiyo, Vladmir Putin amesema kwamba litawafanya maadui wao kuacha kuwafikiria. Jaribio hilo limefanyika miezi miwili tangu Russia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Up to 16,000 Ukrainian militants fell into the “cauldron” near Severodonetsk and Lisichansk, - assistant to the head of the Ministry of Internal Affairs of the LNR On the air of Channel 1...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
North Korea 'inasemekana' imerusha leo hii kombora 'linalodhaniwa' ni la balistiki, ambalo limelipukia angani, muda mchache baada ya kurushwa. Hayo yamezungumzwa na South Korea. Cheong...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Finland na Sweden kujiunga na Nato pengine hakutaleta "tofauti kubwa", kulingana na waziri wa mambo ya nje wa Urusi. Akizungumza katika hotuba ya hadhara mjini Moscow, Sergei Lavrov anasema nchi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hakuna neno lingine ninaloweza kusema zaidi ya kusema yemedoda, kwani malengo ya kuharibu na kukwamisha usafirishaji wa silaha muhimu nchini Ukraine yemekwama. Silaha muhimu zitaendelea...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
- Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116] - Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeshachoka na haya maneno ya kila siku ya huyu babu Putin napiga nuclear . Kila siku mpaka nimechoka . Uwe wimbo wake wa Taifa basi .
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Idara hii iliweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Russia itaivamia Urusi, japo ikakosea ama haikuwa na uwezo kujua muda Mrussi atakaotumia kuiteka Kyiv. TaarifA iliyokuwepo ni Russia kumaliza...
2 Reactions
3 Replies
639 Views
Rais wa Marekani,Joe Biden ameviamru vikosi Vya jeshi la Marekani Kuingia Nchini Somalia. Hii Ni Baada ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Llyod Austin kumuomba Rais Biden kupeleka vikosi Vya Ardhini...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom