Imefahamika kuwa Marekani ilishiriki katika kuisadia Ukraine kuipa taarifa za kiintelijesnia mahala ilipo meli ya kivita ya Urusi ya Moskva kabla ya meli hiyo kushambuliwa na kuzama.
Chanzo...
Uingereza imeeleza kwamba itaipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wa thamani ya Paundi bilioni 1.3 (Sawa na Dola bilioni 1.6) , hayo yameelezwa kabla ya kikao cha kundi la nchi 7 (G7) zenye...
Muungano wa Mashirika ya Ndege nchini Nigeria umesema utasimamisha safari zote za ndege kuanzia kesho Jumatatu kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, Muungano huo umesema bei ya mafuta ya ndege...
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine.
“Bado, nitasema kitu...
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
The Admiral...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kutoa silaha zenye thamani ya dola milioni 150 kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi.
"Ninatangaza kutakuwa na mzigo mwingine wa msaada wa ulinzi...
Watu wawili wamepoteza maisha na askari mmoja kujeruhiwa vibaya kutokana na shambulio la risasi kutoka kwa mtu ambaye alipora bunduki kutoka kwa askari polisi Jijini Cape Town Nchini Afrika...
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha.
Rais...
.
Jana wakati nimetoa makala fupi kuhusu melivita ya NIMITZ kuna mdau mmoja aliibuka na kuipinga kwa kusifia Melivita ya urusi ijulikanayo kwa Jina la Admiral Kuznetsov naomba nikamwambia alete...
Umoja wa Ulaya (EU) unadhamiria kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi, na orodha ya sita ya vikwazo vinavyozingatiwa inamjumuisha Alina Kabaeva ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na Rais...
Imeripotiwa kwamba mabaki ya mamia ya watu yanaharibiwa kimakusudi katika kampeni iliyoandaliwa ya kuondoa ushahidi wa mauaji ya kikabila magharibi mwa eneo la Tigray nchini Ethiopia, kulingana na...
Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva
The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike...
Mtendaji wa Kampuni hiyo ambayo iliingia mkataba wa kufungasha, kuuza na kusambaza chanjo ya Johnson & Johnson barani Afrika amesema kuwa wapo mbioni kufunga kwa kuwa hawajapokea oda yoyote kwa...
Vikwazo vya kiuchumi, kisiasa na Kisayansi na teknolojia [Marekani,Umoja wa nchi za ulaya,Urusi na China]. Awali ya yote ningependa kumshukuru MUNGU kwa huu uzima wa afya alionipatia. ningependa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeripoti kuwa vita inayoendelea Nchini Ukraine imekuwa na madhara makubwa kwa watoto, ambapo wengi wao wanahitaji msaada wa kisaikolojia...
Imekua kawaida Urusi kutishia kuangamiza majirani zake kwa Makombora ya nyuklia wakati akifahamu kabisa anaowatishia wana Nyuklia pia
Majuzi Kuna kipindi Cha tv kilikuwa kinalushwa kikielezea...
Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani
Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu...
Kampuni ya Gucci inayotengeneza mavazi ya kifahari inatarajia kuanza kupokea malipo kwa cryptocurrency kwa baadhi ya maduka yao huko Marekani.
Habari kamili...
=====
Italian luxury brand Gucci...
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.