Habari wana jukwaa!
Nimefuatilia kwa karibu mzozo wa Ukraine, Kauli na Vitendo vya Rais wa Ukraine Zelesnky, Kauli na Vitendo Vya US, UK na NATO na NATO kwa ujumla. Nimejiridhisha pasina shaka...
Korea Kaskazini imegundua kisa cha kwanza kabisa cha maambukizi ya Covid-19, kulingana na vyombo vya habari vya serikali, ambavyo viliita hali hiyo "dharura kuu ya kitaifa."
Imeripotiwa kuwa...
MAREKANI NA CHINA KURUDI MEZANI KUMALIZA MGOGORO WA KIBIASHARA KUTOKANA NA MAPENDEKEZO YA UCHINA JUU YA UMUHIMU WA MKUTANO HUO: Marekani na China zimekubaliana kurejea katika meza ya mazungumzo ya...
Iranian navy took a British ship named STENA IMPERO as hostage. I'm seeing her with my eyes, she's 12 miles away from me. I'm hearing whole conversations in VHF between Iranian navy and British...
Lindsey Graham Has a Message for Iran: If They Retaliate, We Will Hit What They Can't Afford to Lose
Some of the Democratic members of Congress were disturbed that they weren’t informed about...
Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai.
Hii...
Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya...
Habarini za jioni wanajamvi , katika kufatilia vifaa vya kijeshi vinavyo tolewa na Ukraine kutoka USA ..nimeona sana helicopter za mi- series ambazo katika kufatilia hutengezwa urusi
Sasa...
Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Simu inayomilikiwa na serikali nchini Ethiopia, Mei 9 ilizindua huduma ya simu za mkononi ya 5G na kuifanya nchi hiyobkuwa miongoni mwa nchi chache zenye huduma...
Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu...
(Kichwa Cha habari kikipambwa na wale wenye Mapenzi mema na Ubabe na uvamizi wa nchi nyingine)
Katika maonesho hayo mjini Moscow yalipambwa na vifaru vipya ambavyo vitapunguza gharama ya logistic...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametuma salamu za pongezi kwa Rais Vladimir Putin baada ya kusherehekea siku ya ushindi ya Urusi, akielezea mshikamano thabiti wa nchi yake na Urusi...
Chama tawala nchini Sweden kinatarajiwa kuanza mchakato wa kuamua endapo nchi hiyo iwasilishe ombi la uanachama katika jumuia ya NATO au laa ifikapo tarehe 15 Mei mwaka huu. Hayo yanakuja ikiwa ni...
Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala...
Ukiitazama hii vita katika jicho la kijeshi ni dhahiri urusi imefeli!
Imefeli kwa sababu imeshindwa kufikia malengo yake ya uanzishaji hii vita!
Lengo la Kijeshi la Urusi ilikuwa ni kuingia Kiev...
Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume...
mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin
Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado...
Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9.
Elon mwanzoni...
Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.