Russia jumapili ya mei mosi 2022 ameshaiingiza ndege vita yake bora sana aina ya Sukhoi 35s ambayo siku tajwa ilienda kufanya mashambulizi ya umahiri na ukisasa sana kwa kutumia night targetting...
Inakuwaje wanajamvi!
Familia ya Hotel Rwanda HeroPaul Rusesabagina 67 ambaye alipata umaarufu kwenye vita ya kimbari Rwanda 1994 kwa kuwasaidia na kuokoa watu 1,200 kwenye Hotel wamemshtaki...
Russia successfully tested the Sarmat intercontinental ballistic missile (ICBM) with President Vladimir Putin boasting the nuclear-capable projectile will make Moscow’s enemies “think twice”.
Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi.
Polisi wa Kituo cha Utrecht...
Watu wanane wamefariki, wakiwemo watoto sita, na nyumba 80 kuharibiwa vibaya baada ya moto kuzuka kwenye makazi ya watu, karibu na mji mkuu wa Ufilipino Manila, Mei Mosi usiku
Moto huo ambao hadi...
ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle...
Baada ya kumaliza hotuba yake, Biden anaulizwa maswali na waandishi wa habari.
Anaulizwa iwapo Marekani sasa iko katika "vita visivyo moja kwa moja" na Urusi na ana wasiwasi gani kuhusu jinsi...
Kagame anapata sifa nyingi sana hasa kwenye vyombo vya habari vya magharibi lakini ukweli ni kwamba sababu kubwa ya kupendwa ni kwamba yeye pamoja na Museveni ndio walinzi wakuu wa western...
People in the town of Orania, which is in South Africa, are mostly white. This makes it the most white town in the country. While there isn't a law against Black people taking part, there are a...
Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine.
Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga...
Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe
Tume...
Moto mkubwa ulioambatana na Moshi Mkubwa vimetokea kwenye Kambi ya jeshi la Urusi kwenye Mji wa Belgorod ambao unapakana na Ukraine.
Msemaji mkuu wa Jeshi la Urusi amesema Uchunguzi unaendelea...
Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'
Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close
The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the...
Raia wa Afghanistan wamesherekea Sikukuu ya Eid, Mei Mosi huku wengi wao wakiwa na tatizo la njaa. Umoja wa Mataifa (UN) imeeleza kuwa zaidi ya asilimia 90 ya raia wa taifa hilo wanakabiliwa na...
Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12...
Wadau wa siasa za kimataifa natumaini hamjambo.
Ule wakati wa kushuhudia matumizi ya mabomu hatari zaidi sanaa hapa duniani umefika. Nakumbuka kutupwa kwa bomu hili kule Nchini Japan katika miji...
Hahahahaha thubutuuuuu, China aungane na Urusi? Labda kwa maneno.
China hawezi kuungana na Russia sababu uchumi wa chini kwa zaidi ya asilimia 70 kwenye uwekezaji unamtegemea US na Ulaya.
Hapo...
Kwa wale waliosoma physics na chemistry tunaomba msaada wenu kuhusu hizi silaha za nuclear ambazo Russia amekuwa akitishia mara Kwa mara kwamba anaweza kuzitumia.
JE, zikitumika usalama wa Dunia...
Vita vya Ukraine: Makombora yapiga Kyiv, Umoja wa Mataifa wakiri kushindwa
Makombora yamepiga Kyiv wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini humo, ambapo alikosoa Baraza la Usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.