International Forum

News and Stories from rest of the World
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Bunge la Ujerumani laidhinisha silaha nzito kwa Ukraine Bunge la Ujerumani, Bundestag, hii leo limepiga kura kuunga mkono kutolewa zana nzito za kivita kwa Ukraine, katika mabadiliko makubwa ya...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Kwanza natambua nguvu ya USA si kiuchumi tu bali ina nguvu katika sekta nyingine kama propaganda, kisera, kivita, kiutaftiti, ubora wa elimu hata uchangiaji wa maendeleo na utatuzi wa matatizo...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa...
1 Reactions
4 Replies
731 Views
yas ni USA ni tofauti na nchi nyingi. unapo wapa tishio la vita kwa mfano: Kutoa kauli za ukali kuonya au kitisho cha kuishambulia Usa. huta wasikia USA wakikujibu. unaposema sijui unaweza...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Mwenzao anabondwa mWezi wa Tatu huu wao leo ndo wako bungeni kuomba hela ya msaada. Kwa hiyo vita kwao si dharura kiasi cha kulazimika kufuata protokali zooote za kimamlaka kupata kibali. Halafu...
0 Reactions
5 Replies
649 Views
Inabidi Uwe Mbishi au mwendawazimu kutokubali Kwamba Urusi kapoteza Sana War is a very expensive business. Taking in account that The Russian economy is dependent kwa uchumi wa dunia iliyomtenga...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani. Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons. Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Uvamizi wa Russia nchini Ukraine umeingia mwezi wake wa tatu tangu uanze. Kutokana na ukubwa wa jeshi, zana na silaha za Urusi wengi waliamini vita hii ingechukua muda mfupi na malengo yake...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini...
0 Reactions
2 Replies
718 Views
NATO imesema ipo tayari kuiunga mkono Ukraine kwa muda mrefu Katibu Mkuwa wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amesema muungano huo wa kijeshi upo tayari kudumisha msaada wake kwa...
6 Reactions
14 Replies
897 Views
Urusi inasema kwamba haitasambaza tena gesi kwa Poland na Bulgaria kwa sababu nchi zote mbili zilikataa kulipa kwa sarafu yake ya Rouble. Umoja wa Ulaya umesema kuwa hatua hii ya Urusi ni sawa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jipya la kutaka ahutubie wakuu wa mataifa ya Muungano wa Afrika (AU), kulingana na Kamishna wa AU, Moussa Faki. Katika ujumbe wake wa Twitter, Bw...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hisa za kampuni za silaha za Marekani zimezidi kupanda na kuongeza faida kutokana na mgogoro wa Ukraine. Hii inajiri baada ya Rais Joe Biden kuomba Bunge la Congress kuidhinisha msaada wa Dola...
1 Reactions
5 Replies
738 Views
Tujifunze kwa Waafrika wenzetu wanavyotangaza vivutio vyao. Kumbuka wote tunatafuta watalii hao hao. NB: Tuache ushamba, tumia pesa upate pesa. Balozi zetu ughaibuni, amkeni nchi imefunguka...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya...
7 Reactions
82 Replies
5K Views
Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021. Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Israel hasn’t faced an actual existential threat in well over forty years. They literally have nuclear weapons. The idea that they are somehow going to be destroyed if they aren’t brutal enough ie...
1 Reactions
1 Replies
508 Views
Back
Top Bottom