International Forum

News and Stories from rest of the World
Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine. Shirika la biashara na maendeleo la Umoja...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Pamoja na kukwama kwa wanajeshi wa Urusi kusonga mbele vitani nchini Ukraine , Rais Putin anaonekana amepata pigo kutoka ndani ya Kremlin yenyewe. Mmoja wa washauri wake, Anatoly Chubais...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
10 Reactions
108 Replies
5K Views
Au elimu tuliyopewa ulikuwa ni uongo , just. United nations organization. , International criminal court (icc) are for African states only? Or vile vile tu. Africans are inferior to western?
0 Reactions
1 Replies
524 Views
China yasema hakuna nchi katika G20 inayoweza kumfukuza uanachama nchi nyingine. Hayo yamesemwa baada ya Marekani kutaka Urusi iondolewe uanachama katika kundi hilo Msemaji wa Wizara ya Mambo ya...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
By. Dr. Omar Ali Albuluushiy. Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh. Welcome, dear brothers and sisters. We see that the events took place and a commotion about the Krone virus that...
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Picha: Madeleine Albright Madeleine Albright aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje wa kwanza mwanamke wa Marekani kuanzia mwaka 1997 mpaka 2001, chini ya utawala wa rais Bill Clinton amefariki dunia...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed...
2 Reactions
5 Replies
943 Views
Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Chanjo ya Moderna ya COVID-19 inafanya kazi kwa watoto wachanga, wanaokua, na watoto wa chekechea, kampuni hiyo ilitangaza Jumatano maendeleo ambayo yanaweza kufungua njia kwa watoto wadogo kupata...
1 Reactions
0 Replies
540 Views
Kwa mujibu wa tangazo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, dola milioni 2 hutumika kwa mwezi kutoka kwenye mifuko ya walipakodi nchini Marekani kuwalinda wanasiasa wawili wa Republican wenye...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza...
13 Reactions
63 Replies
5K Views
Waziri wa zamani wa Zambia ameingia matatani kwa ufisadi. Karibuni kanunua helicopter ya $700,000. Kwa mapato yapi huko serikalini? Alikuwa na mahoteli na mali lukuki. Hawa ndiyo wale wazalendo...
1 Reactions
9 Replies
968 Views
Asee Trump kumbe ni kichwa kinoma asee, sikuliza maoni yake juu ya uzembe wote na aibu aliyoileta Joe kwa America, sikuliza maoni yake na kisha sikuliza maendeleo aliyoyafanya kwa jeshi la US...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Maksym Levin ambaye ni mwanahabari picha wa Ukraine aliyekuwa anapiga picha eneo lilikuwa likishambulisha mjini Kyiv hajulikani alipo. Rafiki wa mwanahabari huyo, Markiyan Lyseiko ana mashaka...
1 Reactions
10 Replies
900 Views
sitaki kuzunguka mbuyu Sana, ni hivi kwann mmarekani amepigana Vita nyingi zaidi kuliko taifa lolote duniani!? nn anapata kwenye hizo Vita anazoenda kupigana?, hivi ni taifa gani ambalo liko...
4 Reactions
6 Replies
848 Views
Jibu hili nilikuwa nina mjibu kaka Yericko Nyerere katika hoja zake ambazo ziliegemea kumtetea Mrusi dhidi ya Ukraine. Nina tamani kwa yeyote anayemtetea Mrusi apate kusoma ili ndio apime hoja...
46 Reactions
260 Replies
14K Views
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom