International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndugu zangu ikiwa bado kuna mgogoro ukiendelea kufukuta nchini Ukraine, tumeshuhudia vikwazo na matamko mazito kutoka kwa NATO members na European union kwa Urusi. Ikiwa nato ataamua kwenda field...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mahakama moja ya Urusi imemhukumu mkosoaji wa serikali ya Urusi Alexei Navalny kifungo cha miaka tisa jela, baada ya kumkuta na hatia ya ufujaji fedha na kutoheshimu mahakama. Mwandishi wa...
1 Reactions
9 Replies
915 Views
Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na...
1 Reactions
1 Replies
580 Views
Wasema imefikia wakati wa Belarus kujiokoa kutoka kwenye mikono ya Mrusi, waelekea Ukraine kufanya yao huko, na hii itasababisha vitaifa vyote ambavyo vimekua vikinyanyaswa na Urusi kujiunga pia...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Rais wa #Urusi, Vladimir Putin kuzungumza mgogoro uliopo ili kunusuru raia wasio na hatia Viongozi wa #China wamesema Urusi ipo tayari kwa...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
China yaipa msaada Ukraine wa yuan million 10 ======== China to provide additional $1.6m of humanitarian aid to Ukraine China will provide an additional 10 million yuan (roughly $1.6...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine. USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote...
11 Reactions
71 Replies
8K Views
Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan...
2 Reactions
88 Replies
6K Views
Maafisa wa kijeshi wa Ukraine wamedai kuwa takriban wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa tangu Rais Vladimir Putin alipoanzisha uvamizi wake zaidi ya wiki tatu zilizopita. Katika sasisho...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Naomba nianze kwa kutoa historia fupi ya kiwanda hiki cha kusafisha mafuta Zambia. Alafu mwishoni watu mtatoa maoni kwanini viongozi wa nchi hii hawakuua kiwanda hicho na kwanini chetu kilikufa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Moja kwa moja kwenye mada. Jarida la Business Insider liketoa orodha ya Nchi 20 zenye mzigo mkubwa wa madeni. Kwa mujibu wa aliyekuwa speaker wa Bunge la Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema. "Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tatizo la wakimbizi halijaanza Leo wala halijaanzia kwa wakimbizi wa Ukraine! Wanavyofanyiwa kwa uungwana wakimbizi wa Ukraine na mataifa ya ulaya ni jambo zuri sana! Swali ni je kwa nini...
14 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais Putin wa Russia ameomba akutanishwe uso kwa uso na Rais Zelenisky wa Ukraine ili waweze kuingia makubaliano ya kumaliza vita. Source: BBC
7 Reactions
97 Replies
5K Views
Leo ijumaa,18 March, Russia imesema kuwa itashambulia msafara wote utakaokuwa wapeleka mfumo wa ulinzi wa anga wa S-300 kwenda Ukraine. Kauli hiyo imejiri baada ya Slovakia kusema ipo tayari...
8 Reactions
56 Replies
6K Views
Sniper ambae asingependa jina lake lifahamike hadharani, ni raia wa Canada na ni mwana jeshi mstaafu wa jeshi la Canada. Anafahamika kama one of the deadliest snipers kuwahi kutokea duniani.
9 Reactions
142 Replies
11K Views
To understand the #ukrainecrisis, four dates are very important, 1962, 1989, 2008 and 2014. (1)1962 In 1962, the Soviet Union/Russia tried to install a military hardware in Cuba, which threatened...
13 Reactions
52 Replies
5K Views
Coca-Cola, Starbucks, Pepsi na McDonald's zimeungana na Kampuni nyingine kusitisha Biashara Nchini Urusi kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine. Kumekuwepo na shinikizo kutaka Biashara kuchukua...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho. Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Shirika la habari la Reuters linaripoti kuwa wananchi wengi wa Urusi hawaelewi Urusi inapigania nin Ukraine wanaoielewa ni Putin na wanajeshi wake tu. Vita zingine zote Urusi imekuwa na support...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom