Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea...
Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi...
Vita baina ya ndege Kwa Ndege, Urusi amepoteza mbili aina ya SU-35
The publication states that there was an air battle between two Ukrainian MiG-29 fighters and two Russian Su-35C fighters...
Na Ronald Mutie
Takwimu zilizotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kulinda Mazingira UNEP kwenye mkutano wa tano mkuu wa Mazingira UNEA-5, zinaonyesha kuwa takriban tani milioni 11 za taka za...
Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing tayari imepangwa mjini Beijing wakati michezo hii inafunguliwa Ijumaa tarehe 4 mwezi huu. Na mascot ya michezo...
Mwanasoka raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" katika mechi ya Jumapili iliyoikutanisha timu yake ya BB Erzurumspor dhidi ya vinara wa Turkish...
Habari za mda huu
Wadau naomba kujuzwa zaidi ni nani anaefahamu vizuri nchi ya Eritria maana hii nchi inaonekana kuja na surprise za kiwendawazimu kila muda
Mfano walikuwa na ugomvi wa muda mrefu...
Ukraine na Urusi zimekubaliana kutengeneza kuweka maeneo salama ya kibinadamu ili kuruhusu Raia kuondolewa. Hayo yameelezwa baada ya mazungumzo ya pili baina ya Mataifa hayo kufanyika
Upande wa...
Mgogoro wa Kisiasa Nchini humo umeonekana kwenda kubaya, huku kukiwa na hatari ya kurejea kwenye mapigano au mgawanyiko wa maeneo. Serikali mpya inayojiandaa kuchukua Madaraka inaushutumu Utawala...
Serikali ya Ufaransa imewataka raia wake kuondoka Nchini Urusi kutokana na mashambulizi yakijeshi yanayoendelea kwa jeshi la taifa hilo dhidi ya Ukraine.
Serikali za mataifa mengine nazo...
Foreign students ( from Asia, Africa and other parts) are being attacked and used as "human shield" by Neo nazis in kharkiv.
Ushauri wa bure: Waziri wa mambo ya nje Tanzania na serikali ya Samia...
Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine.
Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea.
Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi...
Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama...
Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4.
Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea...
Pande hizo mbili zilikutana mapema wiki hii kwenye mpaka wa Ukraine na Belarus Duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya wawakilishi kutoka Kiev na Moscow yameanza nchini Belarus huku wanajeshi...
Response Force has been activated as a defensive measure in response to Russia's ongoing invasion of Ukraine.
NATO Supreme Allied Commander Gen. Tod Wolters activated the multinational force...
Which countries are sending military aid to Ukraine?
In the Russian-Ukraine war, many countries including neutral non-aligned Sweden have started to send military aid.
As the war between Ukraine...
RAIS wa Marekani Joe Biden amewahakikishia wabunge wa Marekani kwamba wanajeshi wa taifa hilo hawatashiriki katika vita vya Ukraine, na hakuna hata mwanajeshi hata mmoja atakayetumwa katika nchi...
Jeshi la Urusi linadaiwa kushambulia Shule Tatu katika Mji wa Kharkiv. Pia inaripotiwa kuwa Majengo kadhaa ya Makazi ya Watu huko Okhtyrka nayo yameharibiwa kutokana na mashambulizi yanayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.