Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni...
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, maonesho ya taa kusherehekea michezo hiyo katika mitaa ya biashara mjini Beijing yanaonekana vizuri kutoka umbali...
Leo Eu na washirika wao wa Marekani wanajifanya kuiwekea vikwazo Urusi eti kisa imevamia moja ya nchi za Ulaya ya Ukraine, vipi kuhusu uvamizi wa Marekani kule Iraq, Libya na Afghanistan, mbona...
Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden...
Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha...
Kampuni za malipo ya kifedha za Marekani, Visa na Mastercard zimezifungia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia huduma zake ikiwa ni sehemu ya vikwazo kwa Urusi
Aidha, Kampuni hizo zimeahidi...
Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China wiki hii imetoa ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani kwa mwaka 2021. Ripoti hii kimsingi haina mambo mapya, kwani imeendelea...
yes yes yes hongera dikteta Kagame atleast unajali ....kuna ncgi ya kusadikika hadi leo haijui idadi ya raia wake waliokwama huko ni full u]unafiki tu, raia wa Rwanda wanafunzi waliokwama ni 85 ...
Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO...
Rais wa Umoja wa Ulaya amezitaka nchi wanachama kuangalia namna ya kutengeneza Nishati mbadala itakayokuwa rafiki wa mazingira na yenye gharama ya kuridhisha.
Kutegemea Gesi na Mafuta ya Russia...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi...
Nchi ya Belarus kupitia kura iliyopigwa Jumatatu, imeamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia na hivyo ipo tayari kurejesha silaha zake za nyuklia iliyozikabidha kwa Putin pasi...
Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo...
Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake
Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Awali...
Mashambulizi ya Urusi Nchini Ukraine yameendelea kwa siku ya tano licha ya mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano.
Inaripotiwa kuwa, mashambulizi ya makombora yameua watu kadhaa katika Mji wa...
Taarifa kutoka Makao makuu ya Ulinzi wa Marekani Pentagon zinaeleza kuwa Russia [emoji635] inaweza kuivamia Ukraine [emoji1255] na kuipiga ndani ya siku 3 mpaka 5.
Wakati huo Ukraine [emoji1255]...
Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi.
Serikali ya Ghana kwa kushirikiana...
Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi wa filamu, mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019.
Kabla ya...
Wakati vita ikishika kasi kule Ukraine dhidi ya Putin ,nashangaa baadhi ya watu kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii wakimuunga mkono kuivamia Ukraine na inasikitisha sana badala ya kukemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.