International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Tunisia, Kais Saied, ameimarisha Madaraka yake dhidi ya Mahakama baada ya kutangaza Kanuni inayomruhusu kuwafukuza kazi Majaji au kuwazuia kupandishwa cheo Mahakama ilisalia kama Mhimili...
1 Reactions
2 Replies
735 Views
Norway imesema inaondoa vizuizi vyote vya kupambana na janga la COVID 19, kwa sababu haioni kitisho kikubwa cha afya kwa raia wake kutokana na janga hilo, licha ya kwamba kirusi cha Omicron bado...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wajerumani watamchagua rais leo Jumapili kupitia baraza linalotokana na wabunge pamoja na wajumbe kutoka majimbo yote 16. Rais wa Ujerumani anachaguliwa kila baada ya miaka mitano. Rais wa sasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwenu GT, kwa Sasa kuna wasiwasi wa Russia kuivania kijeshi Ukraine na maelfu ya wanajeshi wamewekwa mpakani huku mataifa makubwa yakiwataka raia wake kuondoka Ukraine. Kwa wale wajuvi wa siasa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado...
2 Reactions
8 Replies
944 Views
leo pitpita zangu na kutana na habari kuwa nchi ya ghana ukiwa na kitambulisho chao cha uraia umeamaliza sio kuangaika mala passport mara sijui nini!. hii ngoma naomba NIDA na uhamiaji ziwe ofisi...
4 Reactions
12 Replies
910 Views
Despite repeated warnings from Ukrainian President Volodymyr Zelensky that the U.S. is driving the rise of tensions at Ukraine's eastern border, the U.S. Air Force has deployed four B-52 bombers...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Sheria Nchini humo, Francisco Queiroz amesema ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imerejesha Mali na Fedha zinazofikia Dola za Marekani Bilioni 11.5 zilizoibiwa kutoka Serikalini na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaharakati wanaopinga Mapinduzi wamesema zaidi ya Watu 2,000 wakiwemo Waandishi wa habari, Wanasiasa na Watetezi wa Haki wamekamatwa bila kushtakiwa tangu Jeshi lilipopindua Serikali Nchi za...
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Habari zilizotufikia muda huu nikuwa Waingereza akili zimewakaa wameona bora waiachie meli ya Iran ili amani Mashariki ya kati itengamae! Taarifa zaidi zitakujia === Authorities in Gibraltar have...
12 Reactions
266 Replies
21K Views
Polisi kwenye Mji mkuu wa Canada wamepambana vikali na waandamanaji wanaopinga masharti ya kuchanja chanjo ya covid kwa lazima. My take Tuendelee na zoezi la kuchanja kwa hiari,tusilazimishane.
2 Reactions
9 Replies
643 Views
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu cha kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko Tigray, Kaskazini mwa Ethiopia. Hali ya vita inasemekana kusababisha vifo, njaa na hata miundombinu msingi kama umeme...
1 Reactions
8 Replies
877 Views
Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kampuni ya China ya Tailing Electric Vehicle imeanzisha kiwanda cha kutengeneza pikipiki na baiskeli za magurudumu matatu nchini Rwanda kwa nia ya kuchangia kupunguza hewa chafu duniani na kukuza...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ripoti ya kila mwaka ya Faharasi ya demokrasia iliyopishwa na shirika la Economist imeonyesha kuwa demokrasia iliendelea kushuka katika mwaka wa 2021. Ripoti hiyo imesema kuwa kwa mwaka uliopita...
1 Reactions
5 Replies
706 Views
Mamlaka Nchini humo inasema idadi ya waliopoteza maisha imefikia 111 kutoka 92 iliyoripotiwa siku chache zilizopita. Batsirai kilikuwa Kimbunga cha pili kuathiri Taifa hilo ndani ya siku 14...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana. Papa Benedict...
11 Reactions
133 Replies
7K Views
Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado hawajapatikana. Kwa jumla, wafungwa 130 walitoroka jela katika mji wa Nefas Mewcha katika eneo la...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Picha: Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibah Watu waliokuwa na silaha wameshambulia msafara wa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdulhamid Dbeibah Jijini Tripoli. Shambulio hilo linakuja wakati kuna...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom