International Forum

News and Stories from rest of the World
Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku...
1 Reactions
1 Replies
545 Views
Mkulima mmoja nchini Benin amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake hiyo ni baada ya kuokota mamilioni ya fedha kisha kumrudishia mmiliki. Fedha hizo aliziokota kwenye begi la...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's...
15 Reactions
233 Replies
19K Views
Watu 13 akiwemo mtoto mmoja wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakati wa sherehe ya harusi Kaskazini mwa India, juzi Februari 16, 2022. Waliopoteza maisha asilimia kubwa ni...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
When a fixed-wing aircraft is driven forward by the thrust of a jet engine, a propeller, or a rocket engine, it is referred to as an airplane or aeroplane (informally plane). Depending on the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
VITA YA ‘WHO’ DHIDI YA RWANDA NA TAMADUNI YAO YA KUKUZA VISIMI KWA WANAWAKE. Nchini Rwanda na Burundi na baadhi ya nchi kama Zimbabwe, kuna mila ya wanawake au wasichana kuchua visimi (Labia...
10 Reactions
71 Replies
14K Views
Picha za hivi karibuni zilizotolewa na kampuni ya ujasusi ya teknolojia ya anga ya Marekani Maxar zinaonyesha kwamba shuguli za kijeshi za jeshi la urusi zimeendelea kuwepo karibu na mipaka yake...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nasrullah: Hizbullah ina uwezo wa kuunda ndege zisizo na rubani Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema harakati hiyo sasa inajiundia ndege zisizo na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Mabaki muhimu ya kitamaduni ya Sanxingdui yaonyeshwa rasmi kwa umma Februari 15, katika Jumba la Uhifadhi na Ukarabati wa Mabaki ya Kitamaduni la Makumbusho ya Sanxingdui la Sichuan, barakoa ya...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 inaendelea, na China imetimiza lengo lake la kuwahamasisha wananchi milioni 300 kushiriki kwenye michezo ya majira ya baridi. Mzee Ji...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Vikosi vya Nchi hiyo vitaondoka Mali baada ya takriban miaka 10 ya kushirikiana na Wanajeshi wa Taifa hilo Inaelezwa uamuzi huo umekuja baada ya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais Joe Biden wa Marekani hivi majuzi alitia saini amri ya rais kuhusu fedha ya Benki Kuu ya Afghanistan iliyozuiliwa nchini Marekani, na kutangaza kuwa fedha hizo, dola bilioni 7 za Kimarekani...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jeff zucker amefukuzwa kazi Kwa sababu ya Low ratings (CNN average viewers per day laki 4, MSNBC milion 1 na Fox News million 5 ) na coverage ya Russia hoax. CNN ATT imenunuliwa na Discovery...
1 Reactions
3 Replies
917 Views
Kansela Olaf Scholz amesema Ujerumani italegeza Kanuni hizo kufuatia Wimbi la Maambukizi kutokana na Kirusi cha Omicron kuonekana kupita kilele chake Hata hivyo, ameonya Mlipuko bado haujaisha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya kutengeneza chanjo ya Ujerumani BioNTech leo imetangaza mpango wa kupeleka vifaa vya kutengeneza chanjo zake barani Afrika. Kampuni hiyo ambayo pamoja na kampuni kubwa ya madawa ya...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Shirika la afya ulimwenguni WHO limepata kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miezi sita, lakini uhaba wa mafuta bado...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Prince Andrew has reached a settlement with Virginia Giuffre who accused him of raping her as a child, it has been revealed. Court documents, filed in Manhattan on Tuesday, reveal that a...
0 Reactions
12 Replies
776 Views
Jeshi Nchini humo limeahidi kushirikiana na ECOWAS katika kurejesha Mchakato wa Uchaguzi wa Kidemokrasia, lakini halijaweka wazi ni muda gani Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeapishwa kuwa Rais...
1 Reactions
3 Replies
880 Views
Back
Top Bottom