International Forum

News and Stories from rest of the World
======= By James McClain | Variety The landlocked African country of Rwanda is poor. Nearly 40% of the population still lives below the poverty line, though the mostly rural nation is now in an...
7 Reactions
61 Replies
8K Views
Nichukue nafasi hii kwaniaba ya watanzania wezangu wanaojitambua na wanaojua thamani ya mtu mweusi(mwafrika) kuwapongeza ndugu zetu wa Ethiopia kwa kujitambua kwao hakika tungekuwa na nchi Kama...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
I trust If moïse katumbi become a leader of my country DRC, Kongo will become one of the Best developed countries in africa and our economie will grow up saana. Ndani ya uyu jamaa Kuna power...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Costa Rica yaiorodhosha Corona kama ugonjwa ambao chanjo zake zinatolewa kwa watoto kwa mujibu wa sheria ambapo wazazi wanaweza kuadhibiwa kwa kutotii amri hiyo Utoaji wa chanjo kwa watoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la Yemen ladhibiti ngome ya mwisho ya wavamizi Wasaudi huko Ma'rib Nov 06, 2021 05:04 UTC [https://media] Jeshi la Yemen limeendelea kusonga mbele katika mkoa wa Ma'rib na kuchukua...
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Heshima sana wanajamvi, Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi. Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine wapatao 99 kupoteza maisha kufuatia mlipuko mkubwa katika Mji Mkuu wa Sierra Leone, Freetown baada ya lori la mafuta kugongana na lori lingine Ripoti za awali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) Mjumbe Maalum wa UN, Volker...
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Ulaya imetajwa kuwa kitovu cha mlipuko wa Virusi vya Corona kwa mara nyingine, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likionya kuwa Bara hilo ambalo linashuhudia ongezeko kubwa la maambukizi linaweza...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Marekani hawajawahi kupata rais mpuuzi, mpumbavu na kichaa kama Donald Trump Huyu Bwana akili zake hazikua nzima, ni Rais aliyeitia dunia hasara, na aliyewatia Marekani hasara Jamaa alianzisha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa kama hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, mataifa mengi yanayotumia makaa ya mawe Alhamisi yameahidi kupunguza matumizi yake ingawa kwa kasi ndogo, ili kupunguza uchafuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simon Mulungo anayeiwakilisha Tume ya Umoja Afrika nchini #Somalia amepewa siku saba awe ameondoka nchini humo Simon amelaumiwa kujihusisha na vitendo ambavyo haviendani na Mipango ya Kiusalama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom