International Forum

News and Stories from rest of the World
Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Nov 03, 2021 11:25 UTC Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022. Hatua hiyo ya Ghana inatokana na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku Nov 04, 2021 12:02 UTC Kamanda wa Operesheni za Kambi ya Ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
National Interest: Marekani itashindwa na China katika vita juu ya mgogoro wa Taiwan Jarida la National Interest limewanukuu maafisa wa zamani na wa sasa wa masuala ya ulinzi nchini Marekani...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Iran Navy foils pirate attack on Iranian oil tanker en route to Gulf of Aden The file photo shows an Iranian oil tanker belonging to the National Iranian Tanker Company. The Iranian naval...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Iran's Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) releases detailed footage of its confrontation late last month against an American act of piracy targeting an Iranian fuel shipment. The incident...
2 Reactions
1 Replies
643 Views
Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo Kwa mujibu wa Shirika la Afya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle. Amesema wanajeshi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
A report says that stealing oil cargoes is a last-ditch effort by the US to prevent Iran’s growing sales. The United States has resorted to pirating Iranian oil cargoes as it has failed in its...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Iran have sealed their progression into the knockout stages, with a commanding 6-1 win over Japan in Group B of the 2021 Inter-continental Beach Soccer Cup in Dubai. After a goalless action in...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Mkutano wa mabadiliko ya tabianchi (COP26) umeanza huko Glasgow, Scotland, ukikaribisha viongozi, wataalamu na wanaharakati mbalimbali duniani ambao watajadili na kutafuta njia za kupunguza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Xinjiang ni mkoa mkubwa zaidi unaojiendesha wa makabila madogo madogo nchini China, na una wakazi zaidi ya milioni 25 wa makabila karibu 50, wakiwemo Wauyghur. Katika miaka ya hivi karibuni, suala...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Taliban imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni nchini Afghanistan, hatua ambayo itaathiri zaidi uchumi ambao unaporomoka. "Hali ya ya uchumi na matakwa ya taifa katika nchi yanahitaji raia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taifa hilo limeidhinisha Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer/BioNtech kwa Watoto walio na umri wa miaka 5 - 11, ikielezwa Wataalamu wamebaini ina ufanisi wa 91% katika kuzuia Ugonjwa huo kwa Watoto...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia Serikali ya Abiy ambaye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza hadharani jinsi Wazayuni walivyolihodhi na kulidhbiti bunge la nchi hiyo la Kongresi na kubainisha kwamba kwa muda wa muongo mmoja uliopita, Israel...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Televisheni moja ya nchini Lebanon imetangaza kuwa, viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamekiri kwamba wameshindwa katika vita vya mawasiliano ya Intaneti (Cyber War) na hadi hivi sasa...
0 Reactions
6 Replies
839 Views
Waokoaji wanafanya kazi usiku kucha kutafuta manusura katika mji wa Lagos nchini Nigeria baada ya jengo la ghorofa 22 kuporomoka wakati wa ujenzi. Takribani watu wanne wamefariki na wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiongozi wa mapinduzi yaliyofanyika wiki iliyopita Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amemfuta kazi mwendesha mashtaka mkuu Mubarak Mahmoud kufuatia kuachiliwa huru kwa watu kadhaa...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Back
Top Bottom