International Forum

News and Stories from rest of the World
Kiongozi wa Kijeshi wa Sudan Abdel-Fattah al-Burhan amewafuta kazi mabalozi karibu sita waliokosoa mapinduzi ya kijeshi. Mabalozi wa Sudan nchini Marekani, Umoja wa Ulaya na Ufaransa walitangaza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Maandamano ya kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan yameendelea, huku Ripoti zikidai idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka kufikia 11. Watendaji katika baadhi za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Maduka, Migahawa na Shule za Mji Mkuu wa Urusi, Moscow zimefungwa wakati Taifa hilo likikabiliwa na ongezeko la maambukizi na vifo vinavyotokana na Covid-19. Maduka ya bidhaa muhimu na yale ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
The Supreme Court unceremoniously rejected Rep. Mike Kelly’s (R-Pa.) bid to overturn federal election results in Pennsylvania on Tuesday, a request that would have blocked his own victory on the...
2 Reactions
105 Replies
7K Views
Historic day [emoji1134][emoji1256] Today, as part of the “Blue Flag” exercise, the Commander of the United Arab Emirates Air Force, Maj. Gen. Ibrahim Nasser Mohammed Al Alawi, arrived for a...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali ya Kijeshi nchini Sudan imewafuta kazi mabalozi wake sita katika nchi za Marekani, Uchina, Qatar, Ufaransa, pamoja na Umoja wa Ulaya baada ya kutokubaliana na jeshi kutwaa mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Nchi nyingi zilionesha nia ya kununua S400 na Marekani ilipinga vikali nchi hizo zisinunue silaha hiyo muhimu kwa Ulinzi wa anga la nchi yoyote. Ilifikia hatua kwa Marekani kumuogopa S400...
1 Reactions
21 Replies
38K Views
Takwimu mpya kutoka kwa shirika la Umoja wa taifa la wafanyakazi ILO zinaonyesha kwamba sekta ya ajira imekuwa na kasi ndogo katika kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya janga la Covid 19...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Kikosi cha anga cha Israeli -Air Force kimesema kuwa mazoezi, ambayo yanafanyika kila baada ya miaka miwili, yanalega kuimarisha uhusiano baina ya mataifa tofauti, na mwaka huu ni mazoezi makubwa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Kiongozi wa Mapinduzi ya Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema Jeshi limechukua Mamlaka ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo. Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe. ====== The African Union has said it suspended Sudan from all its activities...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mchawi Mkuu wa Serikali ya New Zealand, Ian Brackenbury Channell ambaye ndiye mchawi pekee duniani aliyekuwa akilipwa mshahara na Serikali, amefukuzwa kazi kufuatia matamshi yake aliyoyatoa ambayo...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Shamkhani: Israel itenge bajeti ya kutosha ya kukarabati hasara za majibu ya Iran Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona. Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Serikali ya China imetangaza kufunga shughuli zote za kawaida kwenye mji wa watu takribani milioni 4, wa Lanzhou na kuaamuru watu kutotoka nje isipokuwa kwa dharura, ikiwa ni jitihada ya kumaliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva. Wanaharakati...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameamuru kufukuzwa kwa mabalozi wa nchi 10, zikiwemo Ujerumani na Marekani, walioomba kuachiliwa kwa kiongozi mmoja wa asasi za kijamii mzaliwa wa Paris, Osman...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom