Maandamano yalioitishwa na mfanyibiashara na mwanasiasa maarufu wa upinzani Martin Fayulu yametawanya na polisi mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Maandamano hayo yalilenga...
Mji wa Kigali umeanzisha aina mpya ya kusafiri mjini humo kwa kutumia baiskeli kama sehemu ya juhudi za Rwanda kukabiliana na uchafuzi wa mazingira na kupunguza hewa ya kaboni katika miji na vituo...
Watu waliojihami kwa silaha nzito wamelivamia gereza moja katika jimbo la Kogi nchini Nigeria na kuwafungulia idadi kubwa ya wafungwa. Msemaji wa gereza la Kabba, Francis Enobore amesema kuwa...
Explained in 60 seconds: The Development Bank of Southern Africa
Strong infrastructure lie at the heart of our daily experiences. They enable the movement of goods, services and people, while...
Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry amemfuta kazi mwendesha mashtaka aliyekuwa anataka kumfungulia mashtaka kama mshukiwa katika mauaji ya Rais Jovenel Moise. Hatua hiyo imeitumbukiza Haiti katika...
Mgogoro wa Rwanda na Burundi wachukua sura mpya. Ambapo sasa mataifa hayo yameingia katika mzozo mpya wa kugombea kilima kiitwacho Sabanerwa.
- Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amedai kuwa nchi...
Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Syria imetowa ripoti yake hii leo inayosema kwamba hali bado sio salama nchini Syria kwa wakimbizi kurudi,ikiwa ni muongo mmoja tangu ulipozuka mzozo...
Mozambican head of state, Nyusi, publicly stated that France was ready to support bilateral and multilateral partners in the fight against terrorism in Mozambique. This leaves no doubt about who...
Umoja wa Mataifa (UN) unatazamia kukusanya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 600 kusaidia Afghanistan, ikionya nchi hiyo inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu.
Kwa mujibu wa UN, Raia...
Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla
Kabla ya...
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021
Mwendesha...
Watoto wawili mapacha wamefariki dunia baada ya kuporomoka kutoka ghorofa ya kumi wakati mama yao akijivinjari LIVE katika mtandao wa facebook.
Mapacha hao Moise Petrice wa kiume na Beatrice...
Watu 84 wamefariki dunia na wengine 67 kujeruhiwa tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwezi Julai. Mvua hizo zimeathiri Majimbo 14 kati ya 18 huku nyumba 30,000 zikiharibiwa.
Umoja wa Mataifa (UN)...
Kundi la Wanasayansi wa Kimataifa limesema Chanjo za nyongeza (Booster shots) dhidi ya Virusi vya Corona hazihitajiki kwa Umma katika hatua hii ya mlipuko na ushahidi zaidi unahitajika...
Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani.
Aidha wanawake...
Mlinzi wa zamani wa Rais Emmanuel Macron amefikishwa Mahakamani Jumatatu kujibu mashtaka ya kuwashambulia wapenzi wawili wakati wa maadamano ya kupinga ubepari mwaka 2018.
Macron, ambaye...
A very popular conspiracy theory that has been making its rounds on Social media recently makes a very troubling claim. According to the post, Bill Gates said that we can lower the population with...
Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu.
Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza.
Nini maana...
MONDAY SEPTEMBER 13 2021
Soldiers on patrol in Guinea. The military coup in the country has been condemned by both the African Union and Ecowas. PHOTO | AFP
Summary
President Condé served two...
Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena
Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.