Watoto ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio la drone la Marekani Afghanistan
Aug 30, 2021 11:26 UTC
[https://media]
Watoto wadogo ni miongoni mwa raia kadhaa waliouawa katika shambulio la...
Rais wa Marekani Joe Biden
Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi jioni amekashifu wanaopinga chanjo ya Covid hapa Marekani, wakati akitangaza kanuni mpya ambazo zinawataka karibu wafanyakazi wote...
Haya ni majibu kwa thread: Papa aiomba msamaha Rwanda kwa Mapadre kushiriki mauwaji ya kimbari 1994 by barafu. cc: Fais12
Kingsharon92
kwenda21
Gerasmus
eliakeem
Today the Holy Father, Pope...
Viongozi wa Jeshi waliopindua Serikali wamewaachilia takriban wafungwa 80 waliokuwa wapinzani wa Rais Conde kabla ya kufanywa kwa mkutano wa Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS.
Viongozi wa...
Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi?
Ina uzito wa tani 21 na...
After Portugal, now Sweden has become the second European nation to ban travellers from the most vaccinated nation Israel. Sweden also banned the entry of citizens from the United States, Kosovo...
Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika magharibi ECOWAS imesimamisha uanachama wa Guinea katika mkutano wa kilele wa viongozi wa jumuiya hiyo baada ya wanajeshi wa nchi hiyo kuiangusha serikali ya...
Hapo ni list ya nchi zenye umeme wa bei nafuu dunian katika mfumo wa Units
Ujerumani ndo nchi ghali zaidi duniani katika umeme kwani units moja huuzwa dola 0.365 huku Sudan,Venezuela, Libya,Iran...
Rais wa Brazil Jair Bolsonaro ametia saini kanuni ambayo inakusudia kuzuia mamlaka za kampuni za mitandao ya kijamii kufuta akaunti na machapisho.
Kulingana na ripoti ya BBC, Bolsonaro alisema...
Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya...
Patent WO / 2020/060606 imetengenezwa na Microsoft Technology Licensing LLC
………
Microsoft ni ya bill gate, au sio?
WO = World Order (yaani New World Order)
2020 = ni patent iliyosajiliwa mwaka...
Wapiganaji wa #Tigray wamewaua raia 120 wa mkoa wa Amhara ndani ya siku mbili. Watu hao walikuwa ni wakulima wa mji wa #Dabat ambapo namba inahofiwa kuwa kubwa kwa kuwa watu wengi hawajulikani...
Amesema katiba iliyokuwepo haikuwa chaguo la wananchi na ilikuwa kandamizi , ameifutilia mbali huku akiandaa mipango ya kuanzisha mchakato wa Katiba ya wananchi itakayokidhi matakwa ya wananchi...
Moto ulizuka mapema asubuhi Jumatano katika gereza moja huko Tangerang, mji ulio magharibi mwa mji mkuu wa Indonesia.
"Wafungwa arobaini na moja wamefariki dunia, wanane wamejeruhiwa vibaya na 72...
Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi...
China, Qatar na Uturuki , Iran na Urusi zatajwa kuwa washirika wakuu wa Taliban katika kuijenga Afghanistan
Msemaji wa kundi la Taliban amesema, China, Uturuki na Qatar ni washirika wakuu wa kundi...
Shirika la Amnesty International limesema makumi ya wakimbizi wanaorudi Syria wanapitia madhila mikononi mwa vikosi vya usalama ikiwa ni pamoja na kuwekwa kizuizini, kuteswa na wengine kutoweka...
Leo ni siku ya mwisho ya kuondoka mwanajeshi wa mwisho wa marekani nchini Afghanistan wakiwa wameuliwa wanajeshi 13 kwenye harakati za kuhamisha Raia wakigeni na wakimbizi wa Afghanistan.
Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa.
Kutokana na covid...
Duru kutoka nchini Afghanistan zinasema kundi la Taliban leo limefyetua risasi kutawanya maandamano mjini Kabul na kisha kuwakamamata waandishi kadhaa wa kiafghani waliokuwa wakiripoti kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.