Habari za humu wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Powercef ni nini?
Nina imani katika pitapita zetu iwe au isiwe ndani ya sehemu za kupata huduma za afya tumewahi kusikia neno POWERCEF...
Husika na habari hapo juu,
Naomba nijuzwe gharama zikoje kuhusu chanjo za kinga ya huu ugonjwa. Najua inatakiwa sindano tatu yaani kila moja baada ya muda Fulani ila sijajua gharama zake,
Asalaaam Aleikum Great Thinkers,
Ningependa Niwatakie Heri Ya Mwaka Mpya Wa 2020, Najua Wapo Wengi Walitamani Kuuona Lakini Haikuweza Kuwa Bahati Kwao, Sio Kwamba Sisi Ni Wakamilifu Sana Au Wema...
Kituo cha Utafiti Uyole (Tari) kimesema zao la maharage aina ya Jesca licha ya kuongeza nguvu za kiume lina faida zaidi kwa binadamu kwakuwa linatibu matatizo mengi.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa...
Wasalaam ndugu zangu !
Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mate ya kuteleza kwenye ulimi wangu na kooni.
Nikinywa kinywaji kama juice au soda basi mate mazito ya kuteleza huwa yananisumbua...
Dr habari za kazi aisee Nina tatzo la kujitokeza kinyama katikati ya uume wangu n kadogo Sana kapo sehemu unapotokea mkojo sijui nn shida msaada wako na tiba yake nini?
Samahani kwa hiyo picha.
Katika somo hili cheo cha uchungaji nakipaki pembeni kwa dk chache ili niokoe wasikivu wachache.
Tabia au matendo nitakayoyaorodhesha si kwamba kwa 100% humpelekea mtu kuambukizwa VVU ila...
Wadau kwema kuna hali nimeipata hivi karibu nikiamka hasubuhi nakuta boksa imechafuka maji maji au hali kama maziwa maziwa hivi inaweza kuwa tatizo nini.
Habari ndugu zangu..!
naombeni ufafanuzi juu ya hili jambo lililomkuta Mwenzangu
Kipi ni mshauri?
screenshot hapo chini imelezea tatizo lake hadi kupelekea kuelezwa hivo na daktari
Watu wengi hawafahamu Ugonjwa wa Homa ya Ini maarufu kama HEPATITIS B ugonjwa huu unasababishwa na kirusi anaeitwa hepatitis B virus ugonjwa huu unawezamuingia mtu mwilini kwa njia ya majimaji...
Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa.
Hivyobasi mara nyingi hulazimika...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito...
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa...
Habarini!
Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa.
Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo).
Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13...
Ndg wataalamu sina maneno mengi zaidi ila naumba kuelekezwa maana ya neno Contra indication katika dawa na matumizi yake.Maana unakuta dawa imeandikwa indication na baadaye Contra indication...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.