Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, nimekuwa na tatizo kwa muda mrefu sasa, nimekuwa natokewa na vipele ambavyo baadae hubadilika na kuwa kama ni mtu aliyeungua moto. Huwa natumia Acyclovir vinakauka na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna wakati mtu unajiona wazi kuwa uzito wako upo chini na pengine ungehitaji ungeongezeka kidogo uzito na unene wako kwa ujumla. Tuachane na wale wanaotaka kuongeza sehemu za kukalia na mapaja...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu, poleni na mihangaiko ya siku. Naumwa tokea jana. Shida ilianza asubuhi nikawa nahisi tumbo kuuma baadae nilipoenda kujisaidia ile haja ilikuwa nyeusi kama oil chafu, shida nini...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nilitahiriwa bila ganzi, hivyo sijui! Lakini naomba kujua, kuna baadhi ya taarifa katika jamii kuwa ile sindano ya ganzi inayochomwa kwenye mapumbu hubaki kwa athari ya baadae! Ndiyo maana...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa, Jamani wapendwa naombeni ushauri nimefanya mapenzi kwenye siku ya hatari lakini jamaa alimwagia nje, sasa tarehe ya siku zangu (bleed) imefika na sijaona siku (bleed)...
3 Reactions
201 Replies
35K Views
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama...
0 Reactions
40 Replies
14K Views
Habari za kazi wakuu nilikua nasumbuliwa na Matonsi na kikohozi...nilikua naomba msaada wa dawa nzuri ya kutumia
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu! Napenda kujua zaidi juu ya ugonjwa wa Safura na matibabu yake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MARADHI YOTE YA MOYO [emoji117]Jiusi ya limau kikombe 1 [emoji117]tangawizi Juisi kiKombe 1 [emoji117]vitunguu Saumu Juice ki Kombe 1 [emoji117]Siki ya Apple (tufaha) ki Kombe 1 Changanya yote...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu pole na shughuli, Nasumbuliwa sana na nta kwenye sikio, nta ujirundika ndani na sikio huanza kuniuma. Nilikuwa naenda Kairuki hospital nasafishwa nakuwa vizuri tu. Sasa hivi nipo Arusha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
-Nimeota vipele vidogo ( kama vya baridi kifuani mabegani na usoni Ni mwaka Sasa sijatumia dawa yoyote ( haviwashi) - Usiku napata mafua na kikohozi Mchana nakua vizuri tu - Napata maumivu ya...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi nimekuwa ni mtumiaji wa miwa kwa muda mrefu sasa naomba kufahamishwa faida na hasara za miwa. Nawasilisha karibuni kwa maoni na ushauri. ========================== Michango...
0 Reactions
57 Replies
68K Views
Habari wakuu, Nilitoka matembezini kidogo na wife ambae ni kijacho sasa kutokana na hizi mvua tukapanda bajaji ambapo barabara ni mbovu kweli kweli na makorongo ya kutosha, japo tulienda salama...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu na wataalamu, Naomba kujua kama kutakuwa na madhara kiafya kwa mtu aliyemeza mbegu ya ubuyu kwa bahati mbaya. Je hii mbegu itatoka kwa njia ya choo au itabakia tumboni tu? Ahsante
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salamu waheshimiwa. Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungani Wa Tanzania, naomba wataalam wanisaidie kwa hili ili nipate ufumbuzi.Nimepatwa ugonjwa wa kuharisha na imeanza jana kwa siku kama ×3 na usiku hivyo...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanajamvi mimi naomba ushauri kupitia ukurasa huu wa doctor, usiku nikianza kusinzia au nikikaanga kitunguu, yaani koo linawasha natamani kujikuna na kidole ila siwezi. Naomba ushauri na tiba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom