Wakuu habari za leo, Kuna shida ambayo naiona KWENYE viganja vya mikono yangu, Viganja vya mikono yangu vinakua vinawasha pamoja na kuchoma choma japo kua Nikwa kiwango kigogo.
Kama wengi wetu...
Kuna jamaa yangu anaomba mpeni jibu eti alikuwa kalewa Sasa akawa ameenda ku do Na muathirika Ila akawa amevaa condom Sasa katika mechi mdada sijui ndo kazidiwa akaichomoa condom makusudi jamaa...
Wakuu kwema??Naombeni mnisaidie Mdogo wangu amekumbwa na hilo tatizo kama inavoonekana kwenye Picha ya Mkono wake hapo chini.
Naomba mwenye kujua hili tatizo anisaidie ni dawa ipi anaweza kutumia...
Moja kwa moja nizame kwenye mada iliyonileta hapa kiukweli no muda Sasa nimekua mtu wa kusumbuliwa na hisia za Mara kwa Mara yaan hamu ya kufanya mapenzi.
Kila muda hata Kama nimetoka kufanya...
Habarini !
Nina tatizo la miguu kuchoka sehem za mapajani hasa nikiwa natembea eneo lenye mwinuko.
Vidole vyote vya miguuni kama vile vimekufa ganzi nahisi kama nimevaa soksi.
Mwanzo miguu...
Wakuu habarini poleni na majukumu.
Kama kichwa Cha habari kinavoelezea hapo juu mtoto Leo katimiza miezi5 nasiku2 kapewa uji je nisahihi maana mama mtu alikosea kuhesabu miezi akijumia leo miezi...
Kumekuwa na fikra potofu katika jamii za kiafrica kuwa mboga za majini ni kwa ajili ya maskini. mboga za majani zina faida nyingi za kiafya hii ni kutokana na asili yake ya kuwa na:
1. Vitamini...
Maharage ni chakula ambacho watu wengi hukichukulia kama chakula cha hadhi ya chini kisichokuwa na manufaa kiafya. Watu wengi huchukulia vyakula kama vile nyama na samaki kuwa ni vya kitajiri...
Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza...
Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?
Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma...
Naombeni nifahamishwe kuna madhara yeyote kwenye hili?
Mke wangu ni mjamzito. Alikwenda clinic kuanza clinic ya wajawazito yapata mwezi. Juzi nimeshika kadi yake ya clinic nikaona yeye ni group O...
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame...
Habari zenu waungwana!
Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda...
Kulingana na utafiti uliowasilishwa katika mkutano wa 2021 wa Jumuiya ya Urolojia ya Uropa, ilibainishwa kuwa unywaji wa maji kwa wingi husaidi kupunguza hatari ya upungufu wa maji mwilini ambayo...
Za majukumu wakuu?
Ninaomba msaada wa mawasiliano ya chuo cha Morogoro College of Health Science cha Morogoro niweze kupata joining instructions forms zao.
Ninatanguliza shukrani sana.
Habari wanajf...
Naomba kuuliza au kupata msaada kwa tatizo la mtoto mchanga wa siku 3 kutapika uchafu kama damu pia kukataa kunyonya inaweza kusababishwa na nini..na tiba yake inaweza kuwa ni...
Nina mdogo wangu kaandikiwa aka pime kipimo cha ct scan, lakin hatuja jua zinatakiwa shilingi ngapi tafadhar anaye jua galama ani juze wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za humu ndani,
Naomba ushauri huu ugonjwa siuelewi yaani wakati wa haja ndogo kutoka huchanganyika na mafuta yenye rangi ya mawese na yakidondoka kwenye sink la choo huganda haraka sana...
Habari wandugu!
Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia.
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.