Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu nahitaji kuchanja lakini sijui hata napata wapi hio huduma naombeni muongozo wenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasaikolojia nisaidieni ati Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu, naomba nikimbilie topic kaka yangu alianza kujisaidia kinyesi kilichochanganyika na damu ila baada ya mda ameanza kujisaidia kinyesi na dam fresh yaani namaanisha akijisadia...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kuna ndugu yangu aliwahi kuugua kifua kikuu (TB) akapona imepita miezi 2 toka apone, sasa majuzi aliniambia ameanza kujisikia kama kikohozi kinamuanza hivi wakati wa usiku na hali fulani ya koo...
0 Reactions
7 Replies
870 Views
Nahitaji moja ya dawa zifuatazo au moja wapo: 1. Oclumed eye drop 2. Can-c eye drop Msaada maana nimetafuta sana nimekosa.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Dr. Vineett bhatera of the United States has found new cancer in human beings, caused by Silver Nitro Oxide. Whenever you buy recharge cards, dont scratch withyour nails, as it contains Silver...
8 Reactions
30 Replies
10K Views
Virutubisho vilivyomo kwenye maiani ya Mchaichai. iron calcium enzymes magnesium phytonutrients 17 amino acids vitamins A, C, E, K, B complex chlorophyll proteins Inaondoa sumu mwilini. - kwa...
3 Reactions
4 Replies
14K Views
Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka...
5 Reactions
25 Replies
6K Views
Nikitoka kufanya mapenzi na manzi yangu kichwa cha uume wangu kinakuwa chekundu sana saa zingine nikienda tu haja ndogo. Nilienda hosptal wakasema nina UTI sugu maana muda uliopita nilikwenda...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Kuna kitu nimependa kupata uzoefu na nyie maana kuna mashostee zangu huwa nawasikia kua kuna kipindi ukipa mpenzi akakupa kitu roho inataka cream unatoka mahipsy na makalio pia yanakua si ya...
5 Reactions
27 Replies
37K Views
Wataalam wa afya, habari za muda huu na poleni na majukumu. Moja kwa moja niende kwenye mada husika. Eti wataalamu... Mtoto kukohoa mfululizo, kutapika hadi wakati mwengine kuharisha, ni nini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wataalam nina tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu. Tatizo hili limenianza siku ya pili na ni mara ya kwanza. Kabla sikuwahi kupata tatizo hili hata nipige goli tatu. Nini tatizo...
0 Reactions
183 Replies
57K Views
“You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding...
2 Reactions
4 Replies
764 Views
Habari zenu wakuu, Changamoto za maisha zipo kwa kila mmoja, kila mtu anapitia ya kwake tofauti ni uzito. Kwa upande wangu, tangu 2018 naweza sema nimekuwa nikipitia kipindi kigumu sana...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba tu kuelimishwa maana halisi ya " booster vaccine" kwa wale waliochanjwa Astra zeneca Ahsante kwa ushirikiano utakaoutoa. Mungu ni mwema wakati wote!
0 Reactions
5 Replies
797 Views
Mdogo wangu yuko katika kilele cha balehe, sasa hakwenda shule, jana niliambiwa anaumwa, leo najuzwa kua ni ashki zimemshika sana kiasi cha kuona kuumwa. Kwakua ni mambo ya kike, na siwezi ongea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wasalaam, Naombeni ufumbuzi wa tatizo la mtoto kutoa mate kila mara...Hapo awali niliambiwa kuwa akikua yatakata ila mpaka sasa nina wasi wasi maana mda unaenda sioni mabadiliko. NB: Mtoto ana...
0 Reactions
17 Replies
30K Views
Habari Wana Jamvi Nna Kijana Wangu ana Miaka 3 ameanza tatizo la kila akilala na Akiamka anakuwa anatokwa na mate Yenye Mapovu Na Anahema Kwa Shida. Tumeenda Hospitali Kadhaa Akipewa Dawa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanawake kuota ndevu inasababishwa na nini au ni vitu gani upelekea Mwanamke kuota ndevu? Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wanaota ndevu sana hii inachangiwa na nini aswaa? Je kuna njia ya...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom