Samahani JF Doctor,
Najiskia maumivi ya uti wa mgongo, kichwa kuuma pia mwili kuwasha sana lakini bila kutokwa na vipele. Je hii inaweza kuwa ni Amiba..? Maana nimepima nimeambiwa nina Amiba.. na...
Wana jamvi naombeni kuuliza ni chakula gani bora naweza kumpatia mtoto wa miezi 4 na hata jinsi ya kuvichanganya maana najua vinakua katika mfumo wa uji.
Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili.
Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba.
Msaada wadau.
Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini.
NB : Vipimo...
NJIA YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA HOMA YA MAPAFU AKA CORONAVIRUS
1) Njia ya Kwanza Kaa nyumbani hiyo ndio njia kubwa ya kujikinga na huo Mlipuko wa mambukiz ya homa ya Mapafu Ukikaa...
Kama heading inavyosemeka hapo juu, nimejiumiza mara nyingi sana kwa kujing'ata ulimi kwa meno niwapo usingizini.
Naweza kuamka na kuhisi maumivu makali sana ya ulimi huku nikiwa nimeshajing'ata...
Wadau wa afya habari,
Moja kwa moja kwenye Mada!
Naomba Ushauri wa kitaalam nifanyaje mama watoto wangu chuchu yame moja Kama imekatwa na Kisu hivi baada ya Mtoto kuwa anaivuta/Kuikata na...
Habari Dears na Wadau wote:
Jamani nahitaji ushauri, Mdogo wangu ameolewa mwaka 1 ulopita anasema kabla hawajaoana na Mumewe walipima mara moja na wote wakaonekana Wapo negative!
Wameishi mpaka...
Habarini ndugu zangu,
Tatizo langu ni kitu inatwa GERD msaada jaman kwa wataalamu wanaojua suluhisho lake jaman nateseka mno nikianza kutapika ni nyongo mtindo mmoja na maji machungu mithili ya...
Nasumbuliwa na kipanda USO kuanzia wiki lilopita, je inawez kuw n dalil ya ugonjwa gani,cjaumw mud San kipanda USO (miaka 10 ),nitumie saw zp za asil kuondoa tatizo ,nb dawa za hospital na aleg...
Habari za muda huu wana familia wa jamii forum...
Naomba kufahamu tatizo hili kama linatibika maana nimeona hizi habari hapa
Nadhani mimi si wa kwanza kupatwa na tatizo hili. Naomba kufahamu...
Kuna binti mmoja ambaye alitokea kujenga mazoea na ukaribu nami.
Akawa huru kunieleza mambo mengi yanayomsibu katika mahusiano ya kimapenzi.
Yeye alipokuwa mdogo alitokea rafiki mmoja wa kaka...
Ndugu zangu Dr wa hapa JF naomba kuuliza ,baba yangu mzazi alifariki mwaka 2002 na kilichosababisha kifo chake ni Pulmonary embolism ndio nimeona Leo kwenye kile cheti chake cha kifo chake.Kumbuka...
Hello people,
Im 21 na nina matatizo na meno yangu. Hayajajipanga vizuri. I was looking into wearing braces but all the dental clinics nimeenda are just too expensive for me.
Ya kwanza was...
Habari zenu,
Jamani mimi ninaomba Msaada, kuna kitu kinaitwa dental implant hii ni Nasikia ni permanent solution ya teeth lost yaani ni zaidi ya dentures. so nauliza kwa hapa bongo ni hospitali...
naomba kwa ambaye anayejua mazoezi maalum ya mgongo nimepatwa na na tatizo la maumivu ya mgongo low back kwa mbali na pia mguu wangu wa kulia unakuw mzito nikitembea goti linauma mara ya.kwanza...
Habari zenu wana if najua mko poa mnaendelea na kazi zenu salama,
Jamani kama maada inavojieleza hapo juu mm naumwa kichwa kwa muda mrefu ila na vumilia tuu kinauma kwa kuwasha ndani afu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.