Wandugu habari za leo!
katika pitapita zangu nimekutana na hii multi macca vitamin ikiwa inasifiwa kwa kuleta hamuu na stamini kwenye ndoa.
Sijawahi itumia ningependa kupata mrejesho kama...
Wadau nimekuwa nikifanya haya mazoezi 10km per day kila siku asbh. But magoti yanauma baadhi ya siku.
Kiatu natumia raba sole yake inanyama kubwa tu, nakimbia kuzunguka uwanja mpaka 10km itimie...
Habari JF doctors,
Tafadhali naomba kuuliza kuwa kuna uhusiano kati ya kitovu kikubwa kwa mtoto na kupatwa maumiv ya tumbo ya mara kwa mara hasa kipind cha baridi?
Mko poa madr wa jf
Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa
Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila...
Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla.
Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara...
Kujitenga ghafla na marafiki, familia na jamii
Kuongeza kiwango cha matumizi ya #pombe na #DawaZaKulevya
Tabia ya ukali ya ghafla na mabadiliko makubwa ya mhemko (mood swing)
Tabia ya ghafla...
Kuna hiki kitu kinaonekana cha kawaida na kimezoeleka na mtu sio rahisi kutokukifanya au kuki avoid. Lakini ukijaribu kukifikiria sana (deep thought) unagundua kuwa ni kitu cha ajabu sana na...
A malaria vaccine has proved to be 77% effective in early trials and could be a major breakthrough against the disease, say its developers from the University of Oxford.
Malaria kills more than...
Habari,
Wakuu naomba msaada. Mwanangu mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu amekuwa akitokewa na vipele miguuni (rejea picha hapo chini), akivikuna vinakuwa kama vidonda. Usiku vinamuwasha anateseka...
Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu.
Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa...
Habari wanaJF mimi ni mwanamke ambaye matamanio yangu ni kupata mtoto lakini juhudi zinagonga mwamba sasa nahitaji kujua gharama za kupima hormone kama zipo balance au lah!
Pia na gharama za...
habari wana Jamvi
Naomba kuuliza! Nimefanyiwa operation ya hernia week ya tatu hii.
Tatizo ni kwenye korodani Kuna uvimbe mgumu Sasa nimemuulizia doctor kasema utaisha tu wenyewe. Je na uliza ni...
Habarini za siku, mimi nina mwili mwembaba nimeambiwa nitumie iyo kitu ya kuitwa WHY-PROTEIN POWDER ili kupata mwili mkubwa na ulinawili
Naomba kujua je kuna madhara makubwa kutumia iyo kitu au...
Fenesi ni moja ya tunda ambalo mti wake ni mkubwa na wenye majani ya kijani kibichi. ndani ya tunda la fenesi huwa kuna mbegu .
Tunda hili hupatikana sana katika maeneo ya Asia na ni mojawapo ya...
Msaada nina shida ya kuwashwa na mwili. Sehemu zinazoniwasha ni tumboni chini ya kitovu na mapajani kiasi kwamba zinatoka kama upele.
Nimeenda hospital nimeambiwa nimeze dawa za minyoo na dawa...
RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.