Nina mgonjwa anasumbuliwa na constipation. Nimempa duculax lakini haijasaidia.
Mwenye alternative medicine anisaidie tafadhali.
Maji, mapapai na matunda mbalimbali etc haijasaidia lolote.
Kumsaidia mhanga aliyetoboka na kutoka utumbo! Leo uko safarini umepanda gari ukiwa na abiria wenzako wengi au ndugu rafiki na wengineo mnasafiri kwenda mahala fulani!, lakin ghafla inatokea ajali...
Za leo wana JF,
Mimi kwa sasa hivi ni mjamzito wa karibia miezi miwili sasa.
Je, ni lishe zipi zinazomfaa mwana mama mda huu na matunzo yepi yanayotakiwa wakati huu.
Nashukuru kwa misaada...
MFUMO WA MAISHA UNAOMALIZA NGUVU ZA KIUME
dr.joh health and wellness / 3 years ago
Dunia ya sasa ina maisha magumu sana, watu wako bize usiku na mchana wanatafuta ridhiki zao lakini ubize huu na...
Habari za jioni!
Leo tangia mchana najisikia kifua kinabana na kichwa kuuma throughout! Nimemeza painkiller imenisaidia walau kidogo lakini najiuliza hiki kifua nimekitolea wapi!? Ilihali...
Nasumbuliwa na tatizo la utumbo mdogo kushuka hadi katika pumbu, lakini kama niki lala chali naweza kuurudisha.
Natumia kuvaa mkanda sehemu hii ili kuzuia utumbo kutoka pale ninapokuwa natembea...
Najiuliza ni stimulus gani au ni magnetic gani au ni chemical gani inayosimamisha uume pindi macho yakiuona uke?
Mbona uume hausimami ukiona kucha goti mkono au tumbo? Kuna mawasiliano gani Kati...
Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje - JamiiForums
Habari za mihangaiko wadau, leo nimeamua kuleta mrejesho wa kile nilikua nimeuliza wapi pazuri kwa mama...
Among covid patients, a lack of exercise is linked to more severe symptoms and a higher risk of death, according to a study covering nearly 50,000 people who were infected with the virus.
People...
Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani...
Habar wanajf,nina mtoto wa kike umri wa wiki mbili huwa analia sana na kwa muda mrefu wakat wa usiku,anaweza kuanza saa 4 hadi saa 7 analia tu,hospital walitu grip water ya kutuliza chango lakin...
Mwanangu ana allergy ya milk fomula yenye maziwa ya ngombe skimmed cow milk na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10...
Tattoo ni nini?
Hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji.
Kwa dunia ya sasa kujichora...
Lishe bora ya viazi vitamu ni chanzo kikuu cha 'fiber' , vitamini, na madini. Hukuza afya ya Utumbo, fiber na antioxidants katika viazi vitamu ni faida kwa afya ya utumbo.
Inaweza Kuwa na sifa za...
Juzi kati nilikutana na wazee wangu wawili ambao nilipotezana nao miaka zaidi ya 17. Nikiri wazi kati ya wazee wale, mzee mmoja yuko fit sana kiafya very strong, enegic na anaonekana bado na sura...
(Sexual Transmitted Infections)
Haya ni magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia vitendo vya ngono. Vitendo hivi vya ngono vinaweza kuwa kujamiana, kubusiana...
Herpes simplex virus ni aina ya virusi ambao husababisha maambukizi katika sehemu mbali mbali za mwili kama mdomo, macho au sehemu za siri za mwanamke na mwanaume.
Zipo aina kuu mbili ambazo...
- Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu.
- Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke. Kwa maji ya bomba, kisima...
Wadau wa JF Doctor naomba mnisaidie.
Kwa kipindi cha takribani wiki mbili sasa jicho langu la kushoto limekuwa linacheza sana sehemu ya juu (inayoshikilia kope) na kusababisha jicho zima kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.