Miaka ya 2000-2010 ilisemekana kuwa mafuta ya ubuyu ni tiba ya kansa na magonjwa mengine yasiyotibika! na tayari mafuta ya ubuyu yalishaanza kutumiwa na watu Kama tiba, hata mimi nilitumia mashudu...
Barakoa hufanya kazi ya kunasa matone yaliyo na virusi tunayotoa tunapoongea, kukohoa au kupiga chafya. Husaidia katika kujilinda wewe na wanaokuzunguka dhidi ya virusi
Ikiwa unaona barakoa...
Uvutaji sigara hupunguza uwezo wa mapafu kufanya kazi na huongeza hatari ya maambukizi mengi ya njia ya upumuaji
COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza ambao kimsingi hushambulia mapafu
Hivyo...
Nilijiwekea utaratibu wa kuwa nakunywa maji lita 2 kila ninapomaliza mlo wa usiku..baada ya siku chache nikaongeza nikawa nakunywa lita 4 na sasa imefikia lita tano.
Kila siku nikimaliza tu kula...
Nina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi.
Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda...
Kama we ni kiongozi baki kiongozi, kama ni daktari kuwa daktari, kama wakitaka kutuua wanaweza kutumia ata chanjo ya Tetenas au Chanjo ya surua maana dawa kama zote tunategemea nje.
Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche...
Child onset fluency disorder(stuttering)- This refers to the occasional disturbances in the normal fluency and time patterning of speech that are inappropriate to the individual’s age and language...
Kabeji ni miongoni mwa mboga ambayo hutumiwa na watu pamoja na nchi mbalimbali Russia ikiwa ni nchi inayo ongoza kwa matumizi ya cabbage, lakini wenda hujajua pia kabeji (cabbage)ni dawa...
Hi JF Doctors?
Jamani naomba kuuliza, kuna madhara gani iwapo mwanamke atafunga kizazi akiwa chini ya 35 yrs. Wife anataka kufunga kizazi baada ya kupata watoto wawili na hataki njia zingingine...
Habari wa Jf,
Nina mdogo angu aliumwa ghafra, Akapelekwa Hospital tatizo ilikuwa anaumia kwenye scrotum moja ikavimba kwa muda akawa anapata matibabu lakin haikupungua ikabidi mzee amuamishe...
Wakuu, naomba kujua ni dawa ipi nzuri na ina kinga za kutosha kwa meno? Nilikuwa sina tabia ya kuangalia lebo lakini sasa inanibidi kwani kuna dawa nilitumia meno yakawa na ganzi.
Habari za majukum wadau,
Kuna mtoto wa mwaka mmoja sasa anasumbuliwa sana na kifua yaani anakohoa sana ikifika kuanzia midnight ila mchana kutwa husikii akikohoa. Hii ni baada ya kulala kwa muda...
Habarini wana JF?
Ninatatizo ambalo limenianza hivi karibuni, kunamuda nahisi vitu vinanichoma mwilini, pia ninavipele vidogo maeneo yashingoni tatizo linaweza kuwa nini?
Hi, JF doctor naomba kuelekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi.
Shukurani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.