Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wandugu, Kipindi tulichopo ni muhimu sana kuhakikisha afya zetu zinakuwa imara. Magonjwa hasa hii UVIKO-19 inatishia amani ya Dunia. NEWSTART ni mfumo wa maisha ambao umesaidia wengi kuimarisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Safisha kinywa kwa kutumia dawa ya meno na mswaki, kisha sukukutua na maji safi na kutema. Pata matibabu ya magonjwa ya kinywa- endapo kinywa chako kina maambukizi, utapatiwa dawa za kutibu...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, moja kwa moja kwenye mada Nimepokea changamoto hii nikaona niwashirikishe wanajamvi labda naweza pata jibu sahihi. Ni binti wa shule, sio sekondari ni chuo alinifuata na kunipa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Ni hospitali ya kisasa iliyoko jijini Mwanza napenda kujua wajuzi wanijuze. Je, Hospitali hiyo wanatumia bima?
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu nimevunjika mfupa mguunwa kushoto kwa ajali ya boda nimekuja Benjamin mkapa kufungwa muhogo lkn baadhi ya watu wamesema kanda ya ziwa mwanza kuna wataalamu wanaunga kienyeji Tena kwa ishara...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Habari za leo wapendwa? Mwenzenu niko njia panda hata future yangu siioni! Kwa ujumla naelekea kukata tamaa kabisa. Mimi ni mgonjwa, nahitaji ufumbuzi wa tatizo langu lakini pamoja na juhudi zote...
22 Reactions
90 Replies
16K Views
Habari wana Jf kuna Shemeji yangu amefanyiwa Oparesheni, alikuwa na uvimbe tumbo baada ya hapo kichwa kikawa kinamuuma sana. Mwishoni upande mmoja kama unapararalaize. Yaani tunawaza hatujieleewi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuhusike na Kichwa cha Habari. Tunaelezwa kuwa Tatizo kubwa la Ugonjwa wa Corona ni kumfanya Mgonjwa ashindwe kupumua. Tunaelezwa kuwa ili kukabiliana na Hili Mgonjwa hulazimika kuwekewa Machine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni umezuka ugonjwa mpya ulioitwa "Changamoto ya upumuaji" ambayo baada ya uchunguzi wa kina wa Wataalamu wetu wakaja na hitimisho kwamba ni Nyumonia (pneumonia). Leo huko...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Nikichomwaga sindano ya makalio, baada ya siku mbili huwa misuli inakaza sana hasa ya mguu ambao upande wake wa kalio nilichomewa sindano! Week iliyopita jumatatu nilichomwa sindano ya kutuliza...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Habari Dr, Naomba kama Kuna mtu anafahamu dawa ya Kambaku maana nimeshatumia dawa nyingi bila nafuu.
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Mimi ni mnywaji wa bia, ila na wiki mbili sasa kila ni kinywa bia asubuhi mwili unaniwasha sana, tatizo litakua ni nini? Msaada kwa mwenye kujua
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wanna jamvi wenzangu wa JF. Tumuombe Mungu atuepushe na hili janga la Corona maana maisha yetu na kukaa kizuozini wakati mtembezi hula miguu yake tutakoma. Turudi kwenye mada. Ndugu zangu...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Mambo yanabadilika sana. Nipo kwenye daladala tukiwa na wazee wenzangu makamo ya 55 and above. Ni ishara ya wazi kwamba muda huu wao na mimi tunawahi kujishughulisha, lakini ni dalili pia kwamba...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.' Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
1. The STOMACH is injured when you do not have breakfast in the morning. 2. The KIDNEYS are injured when you do not even drink 10 glasses of water in 24 hours. 3. GALLBLADDR is injured when you...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za usiku wakuu, Kabla sijaelezea kwa undani sana Suala la dharura linalonikumba katika afya yangu ambayo kwa dalili zote nahisi nitakuwa nimeunasa ugonjwa wetu ambao inaweza semekana Haipo...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Salaam, Naomba msaada, nasumbuliwa na tatizo la kiuno na nyonga kuwaka moto. Pia sehemu ya chini ya mgongo. Ni maumivu ambayo yanasababisha muda mwingne nishindwe hata kulala. Naomba kufahamu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari JF, Kwanza namshukuru Mungu kwa kuamka salama na kunipa uwezo huu wa kueleza changamoto iliyopo. Naenda kwenye mada, Wife wangu ni Mjamzito, ila changamoto iliyopo ni maumivu ya tumbo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wadau Nimekuja mbele yenu wazoefu ama mliowahi kupitia hali hii. Ni kwamba kwa sasa kiwanda kinatema bidhaa yake ya upwilo kwa kiwango kilichozidi kwa asilimia kama 30 za ziada. Binafsi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom