Habari ya mchana bandugu, Natumain wote tuko salama.
Jaman nahitaji msaana kwa yeyote anayejua, me nina mtoto wa mwaka mmoja kamili. Tatizo lake week sasa anashituka sana usiku, yaani anaweza...
Bpharm: Chriss Johny
Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti.
Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba...
Welcome to this article, I know you want to know more about the habits that can damage the brain. So stay cool to follow up this article. In this article we will also discuss important things you...
Salaam Wakuu,
kama mnavyojua kama binadaamu tuwapo hai basi kuna uwezekano wa kupata ajali au tatizo lolote muda wowote. Baadhi ya matatizo yanaweza kutupata kwa kutarajia na mengine yanaweza...
Habari zenu waungwana,
Nimekuja nikitokea hospital ya ocean road ambako dada angu amepewa majibu ya vipimo kua ana cancer ya Kizaizi stage 1.
Anatakiwa aanze tiba ya mionzi. Wanadai kizazi...
Habari zenu wadau,
Nina serious issue, inanisumbuaga miaka nenda rudi, nashindwa kuelewa, whether ni uelewa wangu mdogo wa group za damu au la?
Ninaomba msaada kwa mtaalamu anayeweza...
Za mida hii wana jf,
Humu ni kisima cha maarifa unaelimishwa na kuelimika.
Nina hoja yangu hii kidogo kwamba Hospital au ata kwenye movies mbalimbali naona huwa kuna kinyundo kidogo kama cha...
As we all know, heart is a muscular organ in most animals, which pumps blood through the blood vessels of the circulatory system .The pumped blood carries oxygen and nutrients to the body, while...
What is cardiac arrest?
Cardiac arrest is the abrupt loss of heart function in a person who may or may not have been diagnosed with heart disease. It can come on suddenly, or in the wake of other...
MATIBABU YA KANSA
"""""""""""""""""""""""""""""""""
Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa isipokua ni kwa uzembe wake.
(1) Hatua ya kwanza:-
Simamisha kutumia sukari na...
Nina twins wenye miezi tisa. Katika kuzaliwa kwao kulikuwa na complication kidogo hasa kwa Doto, ambaye alikaa vibaya na tulitegemea atatoka kwa operation, lakini Mungu akatia wepesi, wote...
Nimenunua maziwa fresh yale yanayokaa kwenye box. Nikayakuta ndani maziwa yake yameharibika na yanatoa harufu kali, kampuni zinazotengeza maziwa hapa Tanzania zikaguliwe kwa umakini maana...
Urutubishaji (Fertilization). Ni muunganiko wa mbegu ya mwanaume na yai la mwanamke, ambayo husababisha kuumbika kwa kijusi (zygote). Utaratibu huu kawaida hufanyika kwenye mirija ya uzazi kwenye...
A lot of people are not aware that carbonated drinks have numerous side-effects. Some of the negative effects according to researchers are:
First ten minutes
Do you know that one glass of a...
Mwanangu ana miezi miwili. Lakini kuna muda anatetemeka miguu kama baridi na kunakuwa hamna baridi pia kuna wakati anageuza macho yake kiini hakionekani na kama anarembua hadi anaogopesha!
Je...
LEO tutangalia madhara ya kula nyama… lakini kabla ya kuangalia madhara, kuna makundi makuu mawili ya nyama yaani nyama nyekundu na nyama nyeupe.
Nyama nyeupe na nyekundu
Nyama nyekundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.