Habari zenu wana JF? bila kupoteza tym ninaomba kuuliza nilichotegemea kuuliza.
Et ni kwa asilimia ngapi hivi vifaa vya kupima mimba na HIV huwa sahihi katika kutoa matokeo?
Kuna jamaa yangu...
Habari za leo wana jamii,
Naomba sana msaada wenu katika hili. Nina baba yangu mkumbwa alichomwa na mwiba kwenye goti akautoa then baada ya siku 3 pakaanza kuwasha pale alipochomwa na mwiba...
Kuna kichunusi kikubwakubwa kimeniota jichoni(kwenye kope za chini).
hakiumi ila kinanikosesha raha kweli!
Naskia kinaitwa kijpu mbuzi.
Naombeni mnaojua dawa yake mnisaidie.
Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatuma Mwasora amesema chupa na chuchu bandia ni hatari kwa afya ya mtoto kutokana na chuchu hizo kujaza gesi tumboni na...
Kaka angu amekuwa mgonjwa wa ulcers ya macho takribani miez 10 now, ametmuia dawa za kila aina hospital lakini tatizo limezid kuwa baya zaid macho yamepoteza kronea na sas hawez kuona tena na...
Wakuu
Kwa miaka mingi nimekuwa mfuasi mzuri wa tiba za kibeberu/kizungu zinazohusisha madawa yenye kemikali (namaanisha haya madawa tunayonunua famasi na mahospitalini km panado na znginezo)...
Wakuu amani iwe kwenu,
Naenda kwenye mada moja kwa Moja,
Wiki Moja kabla ya Xmass nikiwa Nimetuna sehemu karibu kabisa na home napiga zangu masanga, mara ghafla kaja dada yangu, akaniambia fulani...
Habari za muda huu wanaJF, niende moja kwa moja kwenye mada
Leo nilienda dispensary moja ( jina linahifadhiwa) kwa tatizo langu binafsi, sasa nilikaa na mama mmoja ambaye ametoka kwa Daktari...
Habari wana jamii,
Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupimwa ugonjwa wa lupas maana ninashida moja inanitokea mwilini sasa nimemsikiliza dada mmoja hajrati mwenye ugonjwa wa lupas naona kama...
Wadau napata maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi hapo...nimeshafanya vipimo bila mafanikio...nimepima utendaji wa figo, ini, saratani vyote viko sawa.
Nina siku 3 mfululizo...
Habari zenu wanajukwaa!
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32. Kuna tatizo kwenye pumbu yangu ya kulia,nakumbuka toka nakua bado kijana mdogo mara kadhaa ishatokea pumbu yangu ya kulia...
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto.
Sehemu kama Dar es Salaam ni mara...
naombeni msaada wa dawa yakutumia week ya 3 sasa nimwtumia zucon ila bado mpaka koo pia linanisumbua sana nikimeza kitu na mda mwengn wakati wa baridi!
Watu wa MUNGU, naomba msaada wenu wa kitabibu.
Je, kuna madhara yoyote kiafya kuoga Maji ya baridi baada ya kumaliza mazoezi ya kukimbia umbali mrefu? msaada wenu ni muhimu.
Poleni na majukumu, nimekuja kwenu kuomba msaada juu ya jambo hili.
Mke wangu ni mjamzito wa miezi mitano kwenda wa sita sasa, katika kuhudhuria clinic hii ni mara ya pili vipimo vinaonyesha...
Nilikuwa nimetokwa na kama mapunye hivi mwili mzima,baadae viligeuka vipele vyenye unyevu vinavyotoa maji,nikaenda hosp,nikapimwa magonjwa ya zina nikakutwa safi,nikapewa amoxilin,dawa ya allergy...
MADHARA YA KULA NYAMA
NYAMA kwa kawaida ni aina mojawapo ya chakula kitamu sana kwa binadamu, tukila inatupatia virutubisho vingi vikihusisha protini, vitamini na madini. Lakini kula nyama yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.