Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ndugu wana jamiiforum, naombeni msaada wenu, nasumbuliwa sana na kifua. Dalili ninazoziskia mpaka muda huu ni hizi hapa: 1. Kwanza nianze kusema sikohoi kabisa, nikimeza mate naskia mkwamo wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamii forum naomba ushauri nina mpenzi wangu ambae hapo mwanzo alikuwa ni mzima lakini baada ya kuachana kidogo kuringana na mazingira Mara tulipo rudiana nilimwomba tupime ila alikuwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Kwa anaefahamu aina ya dawa za kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone ya testosterone tuwasiliane nazihitaji hizo dawa wadau. Maana nahisi kama ufanisi umepungua . Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Closed
Sabuni hufanya kazi kwa kuharibu Molekyuli za kirusi cha Corona hasa Molekyuli za mafuta zinazounda ngao ya nje inayozunguka kirusi Ngao ya nje ya kirusi ina mafuta ambayo hukisaidia kirusi...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
7 Reactions
56 Replies
11K Views
Habari JF, Kuna hii condition wataaramu wanaita "Neonatal Mastitis" au "enlargement of breast for a newborn" ambapo mtoto wa baada ya kuzaliwa anavimba matiti awe wa kiume au wakike baadae...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Ni vibaya ya kwamba kwa sababu ya kukosa fedha watu wengi katika nchi za joto wanateseka kwa kutokana na njaa. Lakini pia ni vibaya zaidi ya kwamba wanateseka ya kuwa jibu la kupata matangazo...
3 Reactions
9 Replies
34K Views
Habari za usiku, Bila kuchelewa naomba nitoe dukuduku langu. Kwenye ofisi yetu kuliku na kijana wa field ambae aliondoka week mbili zilizopita, lakini Leo huyo kijana akeniambia kwamba amepima na...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Nahisi kama mtu kaikamata shingo yangu muda wote yani imekuwa nzito na mda mwingine kama mwishoni mwa koromeo imebeba kitu na kuchoma choma muda mwingine nikiidomasa inauma kifua pia kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi, Kufuatia malumbano yanayoendelea kuhusu ugonjwa wa Dr. Mwakiyembe. Hatimaye leo Dr. Mwakyembe mwenyewe ameka wazi ugonjwa unaomsumbua ni Dk. Harrison G. Mwakyembe (Mb)...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Tetradenia riparia .ni mmea unaopataikana sana afrika na inadaiwa hapa Tanzania upo sana sijui kwa kabila lako unaitwaje kama hujui uliza tusaidiane kuupata tunywe sio lazima tuagize. Rais wa...
19 Reactions
312 Replies
52K Views
  • Closed
Kila mmoja wetu ana nafasi sawa ya kupata maambukizi ya Virusi vya #Corona lakini athari baada ya kuambukizwa hutofautiana kutegemeana na kinga ya mwili Endapo una maradhi ya Shinikizo la Damu...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajamvi Mimi ni medical personnel. Ningependa kutoa walau mchango wangu wa mawazo katika ugonjwa huu wa COVID 19 na namna bora ya kuukabili ugonjwa huu. Siko hapa kwa ajili ya...
15 Reactions
43 Replies
7K Views
Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi. Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
UTANGULIZI Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakubwa, Naenda kwenye tatizo kuna siku nililalia bega vibaya, sasa tokea siku hiyo bega limekufa ganzi na lina uma. Yaani na lala kwa tabu sana wakuu tiba ni nini naombeni msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha kukaa ndani watu wamepunguza mizunguko ambayo inasaidia kama mazoezi madogo madogo. Sasa leo naomba tujifunze ni namna gani mtu anapata kitambi, Kitambi ni nini hasa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam wakuu, Ni siku ya tano sasa nasumbuliwa na Kiungulia (Bile......), haijalishi nimekula aina gani ya chakula basi ni shida tu. Nimejaribu kuomba ushauri kwa watu nao wakasema ni tumbo chafu...
0 Reactions
19 Replies
28K Views
Wakuu kwanza napenda kuwasalimu wadau wote kutoka Jamii forum, Mimi ni kijana wa miaka 21 nimetimiza umri huo kama last 3 weeks hiv, kipindi Niko secondary form2 niliingia katika huu mchezo wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom