Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu waungwana. Hapa kuna mpangaji mwenzangu alilala mchana huu, kaamka moyo wake unaenda mbio kweli, je nini nifanye kiweze kumsaidia kwa muda huu tukiangalia njia nyingine ya kufanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tatizo litakuwa ni nini hasa nikianza mazoezi ya kukimbia (jogging) napata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya kiuno nikitembea inakuwa kawaida hakuna maumivu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi huyu mwanamke toka nimempata hataki nimpige kiss, denda na hata tukiongea huwa anaziba pua. Sasa jana tumekosana ndo kanambia domo langu linatoa harufu kama choo, nikaishwa...
11 Reactions
72 Replies
18K Views
City docs say prolonged suppression of HIV, no longer needing transfusions for patient, now 20, are huge positives; say this is first such success in whole world In a major breakthrough — and...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo. Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo...
3 Reactions
322 Replies
234K Views
Wakuu, Kuna ugonjwa huu unaitwa Coronavirus, nasikia unaambukizwa kwa njia ya hewa. Tayari umeua watu wawili ambao ni watu ninaowafahamu. Take care guys. ================================== A...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari, Naomba kuuliza kwamba; Je, msichana anapofanya mapenzi siku ya pili baada ya kutoka kwenye mzunguko wa hedhi, anaweza kupata ujauzito?
0 Reactions
35 Replies
205K Views
Habari wadau Nina mdogo wangu ambae alipata jipu karibu na shavu alifanyiwa upasuaji hospital akapona ila sehemu aliyoshonwa ikawa na uvimbe. Alirudi Tena hospital wakamwandikia sindano inaitwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
hello Jf, Nina ndugu yangu (kaka yangu) kwa bahati mbaya ni muathirika na nimekua nae kwa karibu sana tangu hali iyo itokee na pia ni msiri wake./. hajaanza dawa za ARV. Nilitafuta dawa mbadala...
0 Reactions
9 Replies
36K Views
  • Closed
Baadhi ya wananchi wamelalamikia suala la watu mitaani kupuuzia ugonjwa wa #COVID19 na kuacha kuchukua tahadhari muhimu zinazoelekezwa kila siku na Wataalam wa Afya duniani Inaelezwa kuwa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
1. Mikono na kuchemka ndani ya damu ukijishika kwa juu upo kawaida 2. Ganzi miguuni mara ukaapo baada ata ya dakika 15. 3. Mishipa kutanuka mkononi na mguuni mara uchemkapo 4. Mikono ichemkapo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu, kwa anaejua hospitali gani ntapata molding helmet kwa ajili ya mtoto wa miezi 2.
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Hivi, kuwa na vimbe ndogo kwenye moja ya korodani za mwanaume ni kawaida au kitu gani?
0 Reactions
28 Replies
25K Views
Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na manufaa kwa watu wengi. Maumivu ya magoti ni (Osteoarthritis) matatizo makubwa kwa watu wengi hasa wazee, wanawake na watu watu wanene...
3 Reactions
31 Replies
72K Views
Msaada anayejua Hospital nzuri yenye specialist wa mambo ya uzazi Kanda ya Ziwa aniambie Tafadhali!
0 Reactions
9 Replies
4K Views
  • Closed
Shirika la Afya Duniani(WHO) limeeleza kuwa watumiaji wa Sigara na Tumbaku wako kwenye hatari zaidi endapo Watabeba virusi kwenye viganja vyao WHO imesema kuwa kitendo cha uvutaji wa Sigara na...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama wiki kadhaa nyuma kipindi hiko COVID -19 ndio ipo kwenye pick, nilishikwa na homa moja kali na ya ajabu, na before that nilikuwa na ruti sana za kutoka mikoani kuja Dar, ile home iliambata na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada, Jinsi ya kuondoa nywele zinazoota kwenye tumbo na kifua, zinanikera sana. Screwy::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote. 1. Michirizi na utonvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika...
5 Reactions
127 Replies
133K Views
Watafiti wamesema madhara ya #CoronaVirus ni kwa mwili mzima kwa kuwa huathiri viongo vingine vya mwili ikiwemo mapafu, koo, moyo, ini, ubongo, figo na utumbo Ripoti hii itasaidia kujua dalili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom