Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
ACHONDROPLASIA Ni tatizo la mfumo wa mifupa. Hii ni hali ambayo ipo sana kwa maana watoto wengi wanazaliwa nayo,hali hii husababishwa na hitilafu katika kinasaba maalumu kiitwacho FGFR3. Watu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu, Nimekuwa nasumbuliwa kwa muda marefu na maumivu ya shingo upande wa kushoto na kichwa kwa muda mrefu. Desemba 2019 nikaumwa sana sikio la kushoto pamoja na Koo. Nikahisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
24/03/2020 by Rosalie Hayes, In response to queries from individuals living with HIV and our colleagues in the sector, we have sought legal advice from Leigh Day on the employment rights of...
1 Reactions
4 Replies
921 Views
Dunia imekua kijiji kidogo kutokana na tekinolojia. Binadamu wanapenda ku socialise. Ni rahisi kusafiri kwenda sehemu nyingi duniani. Miaka ya 80-90 Uganda walipata dhoruba kubwa ya UKIMWI...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUNYWA LIMAU KIAFYA Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Kwa wale wataalamu wa Afya haya maneno Mawili yani Ectopia na Cordis sio mageni kwao. Ectopia-likimaanisha Kuwa Mahali Pasipotakiwa/Abnormal Position na Cordis Likimaanisha Moyo. Basi ECTOPIA...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
It feels like an eternity ago, but the world only became aware of the coronavirus in December. Despite incredible efforts by scientists around the world, there is still much we do not understand...
0 Reactions
4 Replies
872 Views
habari ndugu zangu mimi ni kijana wenu humu naomba kusaidiwa mawazo uume wangu ni mkubwa mno kiasi kwamba nimejikuta sidumu kwenye mahusiano na sababu wanasema wanshindwa kumudu nini naweza fanya...
3 Reactions
83 Replies
13K Views
Sustainable and healthy Human life is the output of wellbeing of various sectors integrated to work as one system. There is a greater degree of interdependency between one thing happening in one...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
mwanangu anahangaika sanaaa kachoma sindano WAP Msaada wa dawa bac Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Kwa watu wengi kufanya kazi wakiwa nyumbani ni uzoefu mpya na wasichojua ni kuwa inahitaji nidhamu ya juu kumaliza kazi na kupata matokeo chanya. Fanya haya ili uweze kupata matokeo chanya. 1...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari, Mimi ni mgeni hapa JF. Ni mgeni maana nimefungua account leo. Ila nimekua nikisoma na kufuatilia mjadala mbali mbali ya afya humu ndani kwa miaka mitatu ila sikua nachangia. Nina...
10 Reactions
124 Replies
19K Views
Wanajamii nimeona mara kwa mara habari ya kupunguza kitambi na rehemu mwilini watu wakisema ni kunywa maji ya limao, tangawizi na asali naomba kujua ni kwa kiasi gani na kwa muda gani wa kutumia...
0 Reactions
28 Replies
56K Views
Habari, wakubwa heshima yenu. Mimi ni kijana umri ni 25 Me, kwanza nianze kwa msemo wa kiswahili usemao "mficha maradhi kifo humuumbua" nimeona leo nifunguke apa ili nipate ushauri kabla ya...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Hivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe. Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Hivi naweza kuviita vijidudu viwili vimekua vikileta shida na matatizo sana katika mwili wa binadamu toka enzi na enzi. Virus (Kirusi) ni mdudu ambae hawezi kuzaa ama kua na athari bila ya kuwapo...
10 Reactions
18 Replies
5K Views
wakuu nimekuwa nasikia sana kuhusu kuwepo kwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume iitwayo vumbi la Congo. Wanadai ni dawa ya asili kutoka Congo. Kwa uelewa wangu wengi hawa wanaodai dawa ni asili huwa...
5 Reactions
43 Replies
23K Views
Nimeomba ushauri jinsi ya kujiondoa "Chaputa"
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za Usiku huu ndg zangu, Leo hali yangu siyo nzuri sana kwani naumwa mafua makali yaliyo ambatana na kipanda uso, paji lote la mbele ya Uso linauma sana, nimeshindwa kulala kabisa. Toka...
11 Reactions
70 Replies
5K Views
Habarini JF Doctors! Nimekuwa natokwa na ute ute angavu (kama maji maji) unaovutika pale ninapoenda haja ndogo. Yapo kama ule ute unaotoka pale mwili unaposisimka sana kihisia mnapokuwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom