Evidently, on social media, Tanzanians (and I think, for the most part, Africans) were having fun, cracking jokes, and singing songs to mock COVID-19, as of two to one week ago. Many of us have...
VIPIMO VYA KINGA YA MWILI WAKO (IMMUNITY) KUJUA NI KIASI GANI ULIONAYO
Naomba kujua hivyo vipimo vipo? Na kama vipo kwa Dar vinapatikana wapi? Je, pana njia yeyote mbadala ya kujua kinga...
Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo...
Tumekuwa tukidanganyika kuosha uke na sabuni eti ndio usafi. Jamani, uke unaoshwa kwa maji tu maana ndani ya uke kuna bacteria wazuri wanaolinda kuta za uke dhidi ya vijidudu hatari kama fungus...
Here a list of ten common habits that you might not realize are putting pressure on your kidneys.
1. Overusing Painkillers
Over the counter pain medicines, such as NSAIDs...
Kwanza niwaombe moderators msiunganishe uzi huu.
Kitaaluma mimi si daktari, ila kwa uelewa wangu wa jumla (general understanding) ni dhahiri kuwa haya nitakasema hapa watu wa kada ya afya...
WADAU wa JamiiForums naomba USHAURI wa bure kutokana na kadhia hii.
Mabwana afya wanasisitiza watu kupima afya zao hasa kupima maambukizi ya gonjwa hatari la UKIMWI na uishi ukijijua afya yako...
Habarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma...
Mambo vipi wadau?
Naulizia dawa taja hapo juu nina shida nayo nipo Dar. Nimeskia haiuzwi kila pharmacy pia haiuzwi hovyo, so kama kuna mdau yupo anafanya kazi pharmacy au hospital aweze...
Nasikitika mpaka sasa sijaisikia hatua zozote zilizo chukuliwa na serikali ya Tanzania katika kudhibiti entry points zote, na pia kuhusu wageni wanaotoka katika nchi zenye maambukizo ya huu...
Magonjwa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Yanaweza kuwa muendelezo wa magonjwa ya muda mrefu, ajali kama stroke au kugongwa na Gari. Inaweza kutokea kwa mume/mke, Baba/mama au mtoto wako. Si...
Nipo chuo lakini inaangaika kama niache yaani roho haina msimamo before that sickness nilikuwa napata maumivu ya kifua na maumivu ya mgongo na shingoni panabana kama mtu ananikaba hali hii...
Nipo na mpenzi wangu mwaka wa tano huu hatujawai pata skendo ya Mimba na tunafanya mapenzi bila Kinga, mwenzangu {KE} kila tukifanya mapenzi nikipizi tu anasema anajikamua ili atoe shahawa zangu...
NA: ALOYCE MKWIZU.
Pombe sio chai wala maji ya kunywa. Pombe sio mboga kwamba lazima ule na chakula. Pombe sio dawa useme nipo kwenye dozi ya mwaka. Vijana wanawaiga wazee kunywa, wamesahau...
Je, Dalili za #COVID19 ni tofauti kati ya Watu Wazima na watoto?
======
JE, NAWEZA KUPATA #CORONAVIRUS KWA VITU NILIVYOAGIZA UGHAIBUNI?
Kuna tetesi nyingi na taarifa nyingi zinazozunguka...
wataalamu tunaomba maelekezo tafadhali.
Unaitwa loa loa filariasis ambao unaupata baada ya kung'atwa na deer fly au mango fly, pale ambapo mdudu huyu anapoingia mwilini mwisho wa siku anazalisha...
Habarini jaman!! Samahan naomba kuuliza hili litakuwa n tatizo gani maana toka jana nmekuwa na vidonda puan sijui shida ni nini...
yaani ndani ya pua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipigwa pin ya kutokwenda kazini kwa siku 14. Baba chanja alinipa pesa ya kutumia maana nililalamika mno akaona isiwe shida.
Siku kumi na nne zilivyokwisha tu nilipiga simu ban yangu...
Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.