Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo. Shida ni nini wadau? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
799 Views
In 2001, the term 'Leisure Sickness' was coined by Dutch psychologists Ad Vingerhoets and Maaike van Huijgevoort. It's a feeling of dissatisfaction, and in some cases illness, derived from "the...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari, Poleni na majukumu ya kila siku.. Naomba kuuliza eti maumivu katika bega la kushoto kugosheka kama unagosha vidole na kuwa na maumivu makali ni ugonjwa gani au kama mtu aliwahi kuumwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyosema, matibabu hospital nimepata, ila naomba ushauri kama kama kuna supplement au dawa yeyote itakayonisaidia kuunga mfupa na haraka zaidi. Christmas njema...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mmoja wa wagonjwa wake akionyesha jeraha ambalo linakaribia kupona na POP ambayo alikuja nayo. Na Frederick Katulanda TIBA asilia nchini ina historia ndefu pengine ile inayolingana na historia...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wakuu, Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nasumbuliwa na kushtuka kwa mapigo ya moyo kwa muda kama miezi saba na zaidi, moyo unakuwa kama unaruka mapigo, au kudunda kwa nguvu kama...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimekimbia, nimeruka nk lakini nimeshindwa kabisa kukiondoa. Naomba wale ambao mlikuwa na kitambi mtoe maelezo hapa nini mulifanya ili kukiondoa?
5 Reactions
51 Replies
5K Views
30 Million will die soon Bill Gates and the rest of the elites have finally figured out how to kill those of us that are not considered to be of the elite of every race nationality and kind ie us...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, napenda tukumbushane muda sahihi unaotakiwa kumuwezesha mwanamke baada ya kuzaa mtoto kufanya tena tendo la ndoa.
1 Reactions
20 Replies
75K Views
Habarini wakuu..nilikuwa nahitaji juzwa nini sababu usababisha mama mjamzito ajifungue mtoto salama tuu afu baada ya yule mtoto kukaa siku mbili tuu na kufariki..?? Afu pia nilitaka jua ivi mtoto...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mtoto mchanga mwenye umri upata siku 2 au 3 kufariki husababishwa na nini? Naomba msaada!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nimemaliza leo dozi ya Malaria Mseto. Sasa hapa moja haikai wala mbili najuta sana kutumia hii dozi msimu wa sikukuu. Nimemalizia vidonge vinne leo asubuhi sasa wakuu vipi nikizama maeneo...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Ana miaka 2 sasa kasoro siku kadhaa, ila kila nachojaribu kufanya naona namuumiza analia sana nikisema nimkazie siku hiyo asiguse nyonyo. Ananikondesha sasa hivi maana spidi ya kunyonya imekuwa...
6 Reactions
43 Replies
8K Views
Naomba mnisaidie kitu wakuu, Hivi mfano mwanamke alikuwa mjamzito akanywa midawa ikamfanya damu zitoke na kukata, ndani ya mwezi damu zimetoka na kukata mara nne akaja tena akatumia Duphastone...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni miaka 3 sasa tangu rafiki ambaye kwa namna moja au nyingine tulishibana sana aliponitoka kimasihara tu. Nakumbuka ilikuwa Kariakoo siku hiyo tulipokutana na wale jamaa wanaouza dawa za kuondoa...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
As salaam aleikum wanajukwaa Mdogo wangu anasumbuliwa na vipele leo ni siku ya tatu usiku wa kuamkia leo hajalala hivo kutazama vimekuwa vikubwa kiasi tumejaribu kumkamua wametoka wadudu kila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchumba wangu kaenda kupima ili aniridhishe kwamba yupo vizuri. Amekuja na kadi inayoonesha tarehe ya kurudia ni baada ya miezi 3. Je hivi mtu akienda kupima akikutwa hana anapewa nini na je akiwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za usiku ndugu zangu? Poleni na mihangaiko ya majukumu, naomba msaada wa kueleweshwa juu ya namna ya kufahamu kama mama mjamzito ni positive ama negative kupitia kadi yake ya clinic...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Back
Top Bottom