Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Amani iwe nanyi wakuu! Ni kawaida sana kwa kijana hasa wa kiume, (sijui kwa wa kike maana mimi ni wa kiume) kuota unafanya mapenzi na binti au mwanamke fulani hususani yule umpendae katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa mama mzee hasa aliekaa na tatizo kwa muda mrefu, yupo mkoani naogopa kumsafirisha maana anaweza akaja huku halafu tiba ikashindikana, so nataka niulize kwanza kwa Dr mwenyewe anielezee kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inakuaje pale MTU umeoa mwanamke au umeolewa na unazaa mtoto ambaye hafanani kabisa either na Baba au Mama... Aidha, pia kuna uhusiano gani na kuzaa mtoto ambaye huendani naye kama bwai na iwe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kifua changu nikibonyeza chote kinauma na usiku nikilala nikipumua kifua kinauma zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilianza kama utani, najishika chuchu mara nashusha mkono, nikaanza kujisugua clit raha niliyoipata inatembea na mawazo yangu kila ninapovua nguo, iwe naoga au nalala, yaani nikijikuta nipo mtupu...
6 Reactions
39 Replies
7K Views
Kwanza poleni na majukumu, pili naomba msaada mnieleweshe. Mke wangu alikuwa anaumwa tumbo (mjamzito) tukaenda hospital akafanyiwa vipimo tukaandikiwa dawa akanunue lakini tunajaribu kuuliza...
1 Reactions
65 Replies
11K Views
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Na Jane Mihanji TATHMINI ya chanjo mpya ya Malaria iko katika hatua ya mwisho ya majaribio ambapo Oktoba mwaka huu, inatarajiwa kuingizwa sokoni. Hayo yalisemwa Dare s Salaam jana na Waziri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Upi umri sahihi, mtoto wangu ana miezi mitatu na week 3. Asanteni sana.
0 Reactions
3 Replies
15K Views
Salaam wakuu, Ningependa kusaidiwa maelezo ya kitaalamu kwanini muathirika wa Virusi vinavyosababisha UKIMWI hawezi pewa chanjo ya ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B), kuna uhusiano gani? Sent...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je ni kweli huu ugonjwa hauna tiba? Nakama unao naomba kujua tiba zake. Wataalamu wa dawa za kienyeji pia jitokezeni tafazalini
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Msaada wenu Mtoto miaka mitatu, sijui njaa, kiu lakini hii kitu ni kila siku. Mchana anapewa maji, maziwa, juisi na vinywaji mbalimbali, usiku piga ua, ataamka na kushusha kilio kuomba juisi...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti wa ndugu yangu tunalea. Ana miàka 12 sasa. shida aliyonayo ni huwa anawashwa sana sehem za siri baadhi ya siku. Kapelekwa hospital...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha...
1 Reactions
24 Replies
88K Views
JF habari zenu, nimeamka asubuhi nimejikuta na hii hali kidaka tonge kimeongezeka urefu mpaka muda mwingine kinakuja nigusa katika ulimi. Anayefahamu hili naomba kupatiwa muongozo na msaada wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukiwa na UKIMWI kifo kiko mlangoni pako. UKIMWI unafungulia kifo kwa haraka kupitia magonjwa mengine kama cancer, TB, BP n.k Ukipima na ukabainika una VVU hapo stresses unazichochea, na...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu, Kijana wangu wa miaka 8 alizaliwa salama cha ajabu sasa hivi mguu umepinda. Nilienda hospitali tukaambiwa mguu wake haujaunganika kwenye goti, nikampeleka Bugando ili afanyiwe...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa wale wataalamu wa haya mambo, tusaidzane. Kumekuwa na nadharia/ maoni/ hoja mbalimbali kuhusu usahihi wa kipimo cha HIV. Wapo wanaosema eti kipimo kile hakiwezi kusoma katika baadhi ya...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari Wana JF, Mke wangu anasumbuliwa na ugonjwa ambao unafanana na pumu lakini Hana historia ya kuwa na pumu. Mwezi wa nne alibanwa na kifua, alikuwa anahema kwa tabu sana na akihema Kuna...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hali hii wengi tutabaki njia panda, katika pita pita zangu (vituo vya dala dala Ubungo, Tegeta, Buguruni) mekutana na watoa mada juu ya matumizi ya kondom, huwa wanazijaza maji, wanaweka yai...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom