Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA AU VEGA ( Sildenafil)? viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi...
1 Reactions
7 Replies
19K Views
Daktari bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya CCBRT, Dar es Salaam, Cprian Ntomoka amesema kuwa matumizi ya vifaa vyenye mwanga mkali kama simu na kompyuta yanaweza kusababisha tatizo la...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello guys, Hope mko poa na mnaendelea na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku. Ningependa kufahamu kama kufanya scrub ya uso au ya mwili inaweza ikasababisha maambukizi ya Ukimwi. Wazungu...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Kuna sababu nyingi zinazopelekea kutoka harufu mbaya ukeni kubwa ikiwa ni fangus ambayo hutokana na kutofanyia usafi vizuri uke pamoja na kubadilisha sana wanaume ambao huwezi kuhamisha bakteria...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu wajumbe ninawasalimia. Nimekuwa nikisumbuliwa na changamoto kadhaa za afya ya ngozi ambazo naamini zinahitaji "medical attention", hivyo, basi naomba kuelekezwa Hospitali/Daktari mzuri wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wataalamu waTanzania wakiwemo Dr. Karim Premji Manji na wadau wengine katika sekta ya afya Tanzania wanatufahamisha magonjwa 'yasiyojulikana' sana Tanzania na Afrika na changamoto zake. Source...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wataalamu wa masuala ya kiafya na wengine wote Naombeni ushauri wa kiafya. Nina mchumba wangu, nilikuwa mbali naye kulingana na utafutaji wa maisha, ila ahadi yetu ni...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari madaktari na wana jf wote kwa ujumla Mwaka Jana nilipata tatizo la taya yaani wakati nilipopiga mihayo taya ya juu na ya chini ziligoma kukutana hivyo mdomo wangu ukagoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajameni naomba msaada,nikienda kujisaidia utumbo unatoka kidogo,nikimaliza kujisaidia nausukumia ndani na vidole,unakuwa sawa,msaada wa kutatua hilo tatizo.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Huwa natokewa na uvimbe huo maeneo ya joint ya kiganja cha mkono, huwa unatokea baada ya muda unapotea. Nini tatizo na ni nini muarobaini wake? Tafadhali wanajamvi naomba mnisaidie.
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina mchumba wangu wa kike mwenye umri wa miaka 21. Anasumbuliwa na tatizo la kuamka akiwa ameloa na kuloanisha kitanda kwa uchafu kama maji mengi...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kama kuna mwenye kuelewa kuhusu matumizi, faida, gharama za aina mpya za P.O.P wanasema ni za fibre glass na nyepesi. Je unaweza kuitumia zaidi ya mara moja baada ya kuifungua/kuitoa? Gharama za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini! Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe. Nini tiba?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapa chini ni baadhi ya faida za kutumia juisi ya majani ya Ngano: 1. Inasaidia kuimarisha protini kwenye seli nyekundu za damu. 2. Inaimarisha kinga ya mwili na mfumo wa kusaga chakula na...
4 Reactions
36 Replies
15K Views
Tatizo la kukosa usingizi (Insomnia - Sleep Disorder). Usingizi ni muhimu katika maisha ya mwanadamu kama ilivyo kula mlo kamili na kufanya mazoezi. Kukosa usingizi kunachangiwa na mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu, naomba mnisaidie. Mimi ni mama mjamzito kwa umri wa 22 weeks. Sasa, ndani ya siku tatu hizi mtoto wangu anacheza kidogo sana na kwa mapozi. Yaani mpaka kiamue chenyewe...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Kifuko nyuma ya mji wa uzazi ''The cul-de-sac'' pia hufahamika kama ''Pouch of Douglas'' ni chemba au kifuko kinachopatikana chini kabisa ya eneo la tumbo (Peritoneal cavity). Kifuko hichi kipo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Nimekuwa nikihisi kama kuna maji masikioni kila (every instant) ninaposikia sauti ya mbwa (mbwa wanapobweka). Nimekuwa na hali hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimefanya utafiti nimegundua kupiga miayo kunaambukiza, jaribu hata wewe. Unaweza kuanza wewe kupiga muayo mwenzako naye palepale akapiga,au viceversa.wataalam wa afya tupeni hints kidogo.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom