Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Je kuna mtu mwingine mwenye hili tatizo kwa hapa Tanzania? Kwa sababu sijawahi kusikia wala kuona nimeenda hata baadhi ya hospitali kuna madaktari hawalijui hili tatizo. Mimi nimegundua kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Mimi nina tatizo naomba msaada wa ushauri. Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa mjini Zanzibar. Kazi zangu hazihusiani na ukaaji wa kwenye jua. Sasa nimekuja kujigundua...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani hivi unaweza kuugua ugonjwa wa moyo Pasipo kuwa na high blood pressure au low blood pressure? Naomba jibu kwa wataalam wa tiba!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepatwa na kizunguzungu mara mbili ndani ya wiki tatu na hadi sasa sijajua chanzo ni nini. Kuna rafiki yangu mmoja kaniambie eti ni shambulizi la moyo (heart attack). Naomba wataalamu wanijuze...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajukwaa poleni na majukumu. Naombeni msaada wenu wa tiba na mawazo kwa huu ugonjwa. Mama yangu kapatwa na tatizo la kutokwa damu puani ni mwezi sasa na umri wa miaka 50+ lakini bado ana nguvu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Kuna siku nilikuja na Uzi wa kwanini dokta wa Ultrasound hakutaka kuniambia jinsia za wanangu. Wengi mlitoa comments zenu, nikaridhika nazo. Kiukweli tarehe ya matazamio ya kujifungua tuliambiwa...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Najitahidi kung'oa ujinga wa kurithi ila kila siku nakutana na maswali ambayo hayana majibu nyororo. Kuna kitu huwa inasumbua sana watoto mtaani inaitwa "Mchango". Wanadai haina dawa ya hospital...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, jana nimeona wadudu dizaini ya funza lakini wenyewe ni wakubwa ndani ya fuvu la mbuzi baada ya kumchinja ili kupata msosi. Nataka kuelewa wale wadudu wanaingiaje ndani ya fuvu la mbuzi na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani habari za mchana, Juzi nilikuwepo Arusha sasa kuna dada mmoja ni mwenyeji wa pale ni wakala wa kampuni ya FOREVER. Aliniletea baadhi ya bidhaa zao na akanishawishi kuzinunua akidai ni...
0 Reactions
7 Replies
29K Views
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu wanabodi, Nina dada yangu nimempeleka maabara asubuhi ya leo na kupimwa mkojo na majibu kuonyesha kuwa ana kisonono (gonorrhoea) na kwa bahati mbaya ana ujauzito wa miezi 8. Sasa je, dawa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna maneno yapo mtaani wanasema hiyo dawa ya Malaria itwayo Mseto inasemekana inaumiza figo. Je, ni kweli? Naomba ufafanuzi kwa wafamasia au madaktari bingwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bila shaka mpo vizuri wadau, Baba yangu yupo Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa majuma matatu sasa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya koo. Madaktari wanasema imeenea sana hadi kwenye ini, hivyo...
14 Reactions
125 Replies
19K Views
Habari wakuu. Mke wangu amejifungua mtoto wa kike, naomba kuuliza natakiwa kushiriki tendo la ndoa na mke wangu mpaka mtoto afikishe umri gani? Naogopa kumdhuru mtoto wangu maana watu wanasema...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu Tumezoea kuona watoto wakati wanaota meno kwa mara ya kwanza yanatokea mawili kwa taya la chini. Wa kwangu ameanza kuota meno mawili taya la juu. Hii inamaanisha nini? Nifanyeje? Sent using...
1 Reactions
16 Replies
17K Views
Bwana Yesu asifiwe, Assaalam aleykum wapendwa katika Bwana [emoji120] Wana JF bila kupoteza muda niwashirikishe hili jambo. Nimekuwa na kasumba ya kupenda kutafuna karanga ambazo tayari zimeisha...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ukilala ukaamka ukiwa na mistari mistari kama mikwaruzo kama umekatwa na nyasi mwilini inaweza kuwa ni shida gani imetokea?
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
2 Reactions
63 Replies
16K Views
Back
Top Bottom