Habari za muda huu wanajamvi.
Niingie moja kwa moja kwenye lengo mahususi la uzi huu. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Leo ni siku ya tatu kuna maumivu yamezuka ghafla mithili ya mtu...
Habari mkuu,
Naomba msaada nina mtoto wa miaka 4 na nusu ana tatizo hajaongea na uelewa wa mambo kama kujisaidia,
Nachomtuma bado hana pia hana utulivu hata darasani hapendi kukaa kusikiliza ila...
Siku zote nilikuwa sikubaliani na madai hayo.Kwa mara ya kwanza leo,nimesanda.Pamoja na hayo yote, hakika yahitaji moyo, kufanya mapenzi kwenye kipindi hicho cha hedhi.
Kipindi cha hedhi,hata mke...
ALAMA/ISHARA/DALILI ZA MWILI WAKO ZITAKUFAHAMISHA OVULATION IMEWADIA
OVULATION ni hali ya kutoka kwa yai la kike baada ya kukomaa kutoka kwenye follicle baada ya kukua na kukomaa katika...
Wakuu nina tatizo la kuwashwa sehemu zote za mwili,
Hii hutokea kama sijanywa pombe ila nikinywa pombe tatizo huisha, pia pombe ikiisha mwilini ama kichwani tatizo hujirudia. Na mimi ni mnywaji...
Habari za saa hii
Naomba kusaidiwa mwanangu wa kike amebakwa na mtu bahati mbaya mtu huyo aliyembaka amekimbia. Nimechukua PF3 polisi nikampeleka zahanati nimeambiwa huduma atapatiwa kesho...
Kuna jamaa yangu amejijengea tabia ya kutumia Valium kila wiki vidonge viwili. J.tatu usiku kimoja na Ijumaa usiku kimoja. Anasema ana zaidi ya miaka kumi amekuwa akifanya hivyo. Amejaribu sana...
Habari ndugu zangu, pole sana na majukumu.
Ni matumaini yangu nitapata msaada hapa kutoka kwenu.
Nafanya kazi katika Kampuni kubwa ya michezo ya bahati nasibu, hivyo basi huwa kuna shifti kama...
Wakuu nahitaji kulisha ubongo wa kabinti kangu ambako kana takribani miaka mitano ila nahitaji kawe genius school na nyumbani pia.
Hebu nipeni muongozo kwa wataalamu wa haya mambo vyakula gani...
Habari ndugu zangu!
Nimesumbuliwa na meno muda mrefu hadi imefikia hatua nimeshachomoa meno manne (4). Kwa sasa nahitaji kuweka meno ya bandia. Je, yapi madhara yake? Wakati wa kula inabidi...
Hellow
Natumai kila Mwana Jamvi yuko poa kiasi. Leo nimejiskia niwashirikishe swala hili.
Katika jamii zetu kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na ajali nyingi za vyombo vya moto hususani...
Wadau kuna rafiki yangu kanishauri niwe angalau kwa siku ninywe juisi ya unga wa ubuyu eti ni nzuri kiafya na hakuniambia kwa kina faida yake.
Mwenye kujua tujuzane tafadhali faida ntakayoipata...
Taarifa fupi ya mgonjwa anayehitaji damu kundi O- leo 28/10/2019. Huyu ni mkazi wa Mara aliyafanyiwa uhamisho kuja hospitali ya rufani (Bugando). Anasumbuliwa na figo pia anatakiwa kufanyiwa...
Mwanangu wa kiume 20 months anasumbuliwa na ngiri (Hernia). Inambana analia sana na kutapika, dawa tumekosa.
Naomba msaada wa kitaalam wengi wametushauri afanyiwe operation lakini hatuna Daktari...
KWAMBA KUTOA MBEGU ZA KIUME AMA WAKATI WA KUFANYA TENDO LA NDOA, KUPIGA PUNYETO, AU KUJIKOJOLEA (MBEGU ZA KIUME) USIKU INAPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATA KANSA YA TEZI DUME
Your man now has the best...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.