Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ndugu wana JF Kuna taarifa ambazo sijazithibitisha kwamba, Malkia wa Uingereza anamiliki Eneo Kubwa sana Ndani ya Nchi yetu, ambapo Hata Serikali yetu haina Mamlaka ya Kuingia. Eneo...
2 Reactions
64 Replies
16K Views
Kuna trend inazunguka mitandaoni kuhusu mbinu za China kuitawala Afrika. Nami naileta humu tujadili. Kwa maoni yangu yawezekana kwa sababu kuu mbili, nikirejea mradi wa bandari Mbegani na Wachina...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Hello Memba Nipo nafikiria sana ila nashindwa kupata jibu nategemea memba wa JF watakuja zaidi na majibu mazuri yatakayo nisaidia kupata mwanga wa thinking pengine ikapelekea kudevelop theory...
8 Reactions
791 Replies
46K Views
Suala la watawala kuwa na wapelelezi ni jambo lilioko kwenye jamii kwa maelfu ya miaka tangu pale Jamii ya binadamu ilipoanza kuishi pamoja na kuwa na mfumo wa kujiongoza. Jamii duniani kwa miaka...
35 Reactions
189 Replies
54K Views
Habari Wana JF, Kuna Majengo Na Maeneo Mengi Hasa Yanayo nasibiana Na Wahindi Hasa Kwenye Milango Au Magari Huwa Kuna Namba Hasa Hii 786 Ipo Maeneo Mengi Sana Ningependa Kujua Inahisiana na Nini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Hayupo mtu atakayekupenda kama mama yako mzazi. 2. Masikini siku zote hana rafiki. 3. Watu huheshimu pesa zako, hawakuheshimu wewe. 4. Yule unayempenda sana ndiye atayekuumiza sana. 5...
15 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo. Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu...
13 Reactions
336 Replies
30K Views
Is it true that 57 years ago Palestine was not there?
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Nilifurahi sana kusoma andiko la ndugu Mpoki Zakayo la hivi karibuni; andiko ambalo lilielezea vema utata wa kifo cha 'legendary' wa vita, Napoleon, kilichotokea tarehe 5 May ya mwaka 1821...
21 Reactions
42 Replies
8K Views
Kuna mti mmoja (jina lake linahifadhiwa ) unapatikana porini, mti huo ukikomaa, urefu wake hauzidi wa mtoto wa miaka saba, una magamba kwa mbali na rangi yake ni nyeupe. Mti...
30 Reactions
225 Replies
137K Views
Najaribu kutengeneza "historia fupi ya mafisadi" (A Brief History on Corrupt Officials".. Na nimechagua kuanzia 1997 (there is a reason for that). Najua wachache walikuwa nani: Ningependa hasa...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU...
7 Reactions
76 Replies
9K Views
"Bad thing we are sleep" And "Good thing we can wake up" and change the whole system. We are not doing anything while our whole life is full of inequalities everywhere within our country as...
2 Reactions
0 Replies
653 Views
Ni kweli kuwa Dunia yetu Ina umbo la yai, hii inapelekea baadhi ya maeneo Duniani kuwa na Usiku mrefu kuliko mchana au Mchana kuwa mrefu kuliko Usiku, na sehemu nyingine kwa kipindi fulani kuwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Muhandisi Nils Bohlin Mswideshi aliyekuwa akifanya kazi na Kampuni ya Volvo ndiye aliyegundua Mkanda wa Abiria wenye vituo (Vizuizi) vitatu (three-point safety belt). Huyu Jamaa Alisoma Diploma...
12 Reactions
28 Replies
5K Views
Wanaopinga uwepo wa Mungu, ukiwauliza kuhusu asili ya huu ulimwengu na jinsi ulivyo katika mpangilio ambao hauna dosari ndani yake, watakwambia ni nature au coincidence. Mimi mtu akinambia hivi...
3 Reactions
117 Replies
5K Views
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile...
25 Reactions
449 Replies
26K Views
Ukweli halisi ni kwamba Kila mtu anaiona dunia kwa namna yake,kulingana na akili yake, ama katika kuwaza jinsi maisha yanafananaje kinamna ya yeye ! Nikiwa katika hali ya utulivu mwingi, ndani...
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Ahalan wasahlan wamarhaban bikum! Wapendwa wasomaji na wenye hamu ya kufahamu mambo mbali mbali, nimependa kuwaletea mada hii ili kuweza kujua mbinu mbali mbali wanazotumia binadam wenzetu wenye...
36 Reactions
246 Replies
71K Views
Back
Top Bottom