Ikiwa mbinguni/peponi wanaingia watakatifu! Tujiulize swali hili kuwa mtu atakwendaje mbinguni wakati anaishi dunia iliyojawa na dhambi?
Tunatumia vitu vingi vinavyopatikana kwa njia zisizo sawa...
Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la...
Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.
Sijawahi kuona popote pale Waziri wa...
Salaaam wakuu,
Katika kukakaa muda mrefu nikinufaika na nondo za mabingwa wa kuzitumia akili zao katika kuzifikirisha na kuleta mada ambazo zinasaidia kubadilisha mitazamo ya jamii, na Mimi...
Ellen na pacha wake Elizabeth walizaliwa mnamo mwaka1827/9/26
,kutoka kwa familia ya Mzee Robert na Eunice Gorham Maine, mzee Robert aliingiza kipato kwa kutengeneza kofia kwa kutumia mercuric...
SIMON MAGUS NA WACHAWI KANISANI!
Simon Magus alikuwa ni mchawi kutoka kabila la Samaria aliyeingia Ukristo baada ya kufufuka kwa Yesu. Kabla ya hapo alitumia uchawi wake kama biashara...
Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na...
Nimejaribu kujiulizaa, hivi akili ya mtu huwa inapimwa na nini? Mpaka inafikia mtu anakuambia hauna akili wewe. Maana ukifeli mtihani unaambiwa huna akili je mtihani ndio kipimo cha akili...
Features:
Heavy duty, full metal receiverQuick detach barrel system, like the real thing!CNC Machined aluminum outer barrelMetal mock heat shieldIntegrated front RIS for additional tactical...
Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na...
Habari za jioni wakuu moja kwa moja niende kwenye mada husika za kukumbushana kuhusu watu wa kale waliofanya makubwa leo ningependa tumgusie Nimrod aliyetawala Babylon ya kale huko mashariki ya...
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa...
Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo...
ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU".
Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’...
Humu 'Mitaani' wanasema kwamba.....
1. Walinzi wa Rais Trump licha ya kuwa ni Makomandoo Kimafunzo lakini pia huwa ni Wachawi waliotukuka
2. Walinzi wa Rais Trump huwa hawalali kabisa bali Wao...
Mwanzo 38:9-10
Inaonyesha vile Mungu anavyothamini mbegu za kiume(shahawa) kias kwamba unapozichezea hovyo anakuadhibu, Kuna siri gani ya kiroho zaid kwenye mbegu za kiume,.
wanaomwagia mdomoni...
Habari za muda huu wana Jf. Nimuda kidogo sijaandika chochote katika jukwaa hili zaidi ya kuwa msomaji na Mchangiaji mabandiko mbali mbali.
Mungu ni mwema ametupa nafasi ya kuona mwaka mwingine...
Katikati ya mwezi wa tano mwaka 2020, dunia ilikuwa katika sintofahamu kubwa iliyoletwa kutokana na janga la corona. Ni kipindi ambacho ratiba pamoja mienendo mingi ya wanaaajamii duniani kote...
Wajukuu zangu leo nataka niwaeleze mambo fulani, fundo ambalo limenikaa kooni mpaka nashindwa kuhema. Aliyewaroga kafa na katupa gunia chini ya bahari kukiwa na chuma kizito ndani yake kusiwe hata...
Heri ya Mwaka Mpya Wanajamii Forums wote...Natumai wote mmekuwa na holiday season ya kufana. Baada ya kimya kidogo naomba leo tumsome huyu mchuuzi maarufu kwenye tasnia ya ujasusi kwa majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.