Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani. Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu...
7 Reactions
138 Replies
6K Views
Kwanini, muuaji alitumia bunduki ya kienyeji yenye uwezo wa kupiga umbali wa mita 10-15 kwa kifanya uhalifu kwa kiongozi mkubwa kama Shizo Abe? je aliwezaje kufika karibu ya kiongozi huo? Kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
NB: Ninaandika haya kwa lengo la kutaka kujifunza, na nitafurahi kukosolewa maana ndivyo nitakavyo jifunza zaidi. Ila wale mnaokosoa lugha naomba kwenye huu uzi mnikaushie...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Rannie Rodil akiigiza Baphomet katika tamasha ya Son Of Monsterpalooza 2013 mjini Burbank, California. Binadamu tangu zama za kale amekuwa...
5 Reactions
82 Replies
13K Views
Hii wala sikushauri ujaribu hutaweza hii ni level ya juu na practice ya muda mrefu, naweza kukushauri kujaribu kuacha kupumua kwa sekunde 30, ukifanikiwa acha kwa dakika nzima, endelea mpaka uweze...
37 Reactions
330 Replies
56K Views
Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio...
21 Reactions
43 Replies
8K Views
Jana, kuna mtoto wa form 2 aliniuliza ''Nini maana ya ulimwengu?" Mimi Nikamjibu, "Ulimwengu, Ni Kila kitu kilichopo sasaivi (wewe hapo,vitu vyako vyote, watu wako wote wa karibu,watu wote wa...
3 Reactions
12 Replies
942 Views
Salaam wakuu... Kisa Cha Ibrahimu na Isaka kimeelezwa vizuri katika vitabu vitakatifu vya dini. Katika biblia,kitabu Cha mwanzo 22 mstari wa1-14 kinaeleza tukio la Mungu kumjaribu Ibrahimu amtoe...
11 Reactions
50 Replies
6K Views
Naomba nisaidiwe mawazo ktk hili.Miaka ya nyama katika nyumba ninayoishi lilipata kutokea tukio. Ilikuwa ni usiku wa mwisho wa mwezi ramadhan,Dada yangu ambaye ndiye mpishi wetu wa miaka yote...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Himaya ya Misri ilianza miaka mingi sana. Ilianzishwa mwaka 3000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Huo ulikuwa utawala wa mwanzo wa kujenga dola. Utawala wa mwanzo ukaisha mwaka 2700 hivi kabla ya Yesu...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
1.Mungu kama ulimwumba kila mtu kwa mfano wako, je wewe ni mwamaume au mwanamke? 2.Mtu akiugua, aende hospitalini kupewa tiba au akafanyiwe maombi? Na akifanya vyote, kipi kitasaidia zaidi...
36 Reactions
238 Replies
31K Views
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa Manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe. Hii ni...
10 Reactions
223 Replies
87K Views
Nimekuwa muumini mkubwa sana wa kufuatilia historia ya ulimwengu pamoja na uwepo wa viumbe ama miungu hii ya ANUNNAK toka katika sayari nyingine. Maswali ninayojiuliza mpaka sasa ni kwamba...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wala-Watu wa Tsavo walikuwa Simba wawili waliojulikana sana kwa kuwala binadamu. Simba hawa walisababisha vifo vya idadi kubwa ya wajenzi wa Reli ya Kenya-Uganda , tangu Desemba, 1898. HISTORIA...
6 Reactions
19 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa Becnel, mwandishi mashuhuri nchini Marekani anaeleza kwamba, familia ambazo zinaongoza kwa migogoro ni zile ambazo zimeundwa na wazazi ambao wana watoto wa nje ya ndoa au kwa lugha...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Special presidential division(SPD) ni kikosi maalumu cha jeshi alichounda mzee Mobutu mwenyewe mwaka 1985 kwa jukumu la kumlinda yeye na familia yake pia kushughulikia maadui wote wa mzee kwa...
21 Reactions
83 Replies
22K Views
Wakuu nimekutana sana hayo maneno katika usomaji wangu wa nyuzi mbalimbali za kijasusi hapa Kwenye kampuni yetu na nimekua nahangaika ku crack hizi code leo nikasema nisife na tai shingoni najua...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Time traveling ni ile hali ya mtu kuweza kurudi nyuma(past) ya muda au kwend mbele ya muda(future) Tuanzie hapa kwanza kwenye concept ya time is illusion ... ili pewa nguvu sana na mtaalam...
10 Reactions
175 Replies
22K Views
Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya draga ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya a4afrika ya God is the LOGIC...
6 Reactions
181 Replies
7K Views
Back
Top Bottom