Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga...
10 Reactions
13 Replies
4K Views
Niliwahi kupata simulizi fulani kuhusu watu kushiriki kwenye misheni za kijasusi bila ya wao wenyewe kufahamu kuwa wanatumika kwenye misheni hizo. Pengine hata wewe msomaji ni mmoja kati ya hao...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake. Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo. Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
B-2 bomber ndio ndege hatari zaidi ya kivita kuwahi kutengenezwa duniani, ndege hii hujulikana sana kwa jina la (Popo) kwa sababu inafanana na popo kiumbo. Ilianza kutengenezwa kipindi cha vita...
35 Reactions
165 Replies
35K Views
Nami Josephat Keraryo Nyambeya. Kama nilivyoahidi juzi baada ya kutoa uchambuzi kiduchu juu ya bomber (B-2) ya Marekani nilisema nitakuja na uchambuzi kiduchu juu ya Tu-160 kutoka Urusi ili...
26 Reactions
61 Replies
22K Views
Leo sita andika mada ndefu bali nitatoa ufafanuzi mfupi kuhusiana na hii namba ya mnyama 666. Nitatumia mstari ulioipa umaarufu mkubwa hii namba kutoka katika kitabu cha biblia. Namba ya mnyama...
6 Reactions
52 Replies
8K Views
Hapo Mwanzo kulipangwa tusiwe na Mwisho ila kwa sababu ya kuto kutii kwetu basi tunahukumu Juu ya kile chochote tukifanyacho kwa kukusudia au kwa bila kukusudia iwe jema au baya yoote yanalipiwa...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
ADOLF HITLER NI NANI KTK HISTORIA YA DUNIA? Wanahistoria Na Watu wengi Duniani wamekuwa wakisimulia kuhusu Maisha ya Dikteta Adolf Hitler Wa Ujerumani .Leo Ninamuelezea kwa kifupi Hitler...
13 Reactions
33 Replies
7K Views
Habarini za muda huu, Kumekuwa na Vita nchini Ukraine ambapo majeshi ya Ukraine yanalinda nchi Yao dhidi ya uvamizi wa Rassia katika nchi Yao. Dhamira ya nje ya Ukraine ni kujilinda dhidi ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Lengo kuu la kujamiana ni moja tu nalo ni kuzalisha binadamu wengine ili waje hapa duniani. Unajamiana ili uzalishe tu watoto hapa duniani ambao hata wewe mwenyewe hujui kwa nini unazaa na...
2 Reactions
3 Replies
836 Views
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔ Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji ...
19 Reactions
156 Replies
10K Views
Kabla sijaelezea kinagaubaga kuhusu kichwa cha uzi ningependa Kwanza niandike mtazamo wangu na jinsi ninavyoelewa kuhusu Mungu. Kiufupi unaweza nitafsiri kama "Agnostic",lakini tafsiri hii...
6 Reactions
166 Replies
10K Views
Kufukiza ubani. Kwa wakatoliki, sijui kuhusu makanisa mengine; ubani ni sehemu muhimu katika ibada ya misa. Nimeona na kusikia pia, ubani hutumika katika kuyaita/kuyapunga majini. Sasa swali...
7 Reactions
83 Replies
52K Views
Naombeni mnijulishe ....kidono/kinkuti ni kiti gani?
3 Reactions
343 Replies
48K Views
Ni simulizi ya ulaji njama ambayo bila shaka imevuma zaidi kushinda njama nyingine zote. Ni wachache sana ambao hawajawahi kusikia kuwahusu Illuminati. Huaminika kuwa kundi maalum la watu ambao...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
what do you have you to say on this incidence? One story about Jesus in the bible that is confusing and incoherent is the story of the fig tree. Matthew 21:18-19 states, "Early in the morning, as...
11 Reactions
324 Replies
19K Views
Habari zenu wakuu Poleni na majukumu ya kujenga taifa . Kuna video hii ya [link] YouTube,[\link] Baada ya kuitazama ningependa tuitathimini Kwa pamoja humu Uhalisia wake ??? na Technology...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Destiny yaani karma au hatima ya mwanadamu ni jambo linalothibitisha juu ya uwepo wa ukomo wa kila jambo katika ulimwengu huu, hivyo basi hili kuzuia hatima isiendelee kukuwinda ni lazima u-push...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ni hiki, kila unayemuona hapa duniani jua kabisa ana Batch Namba yake. Hatupo duniani hapa kiholelaholela tu. Tuna batch namba ambazo zimebeba taarifa zetu zote. Aliyekuleta hapa duniani...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
You can be identified by your heartbeat and your gait. You can be identified by your fingerprints and iris patterns. And you can always be identified by your smartphone broadcast unique number...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom