Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Haina haja la salam maana na jua hampo salama.(tozo 😅) Ni we direct kidogo tusipoteze muda, pia niwaombe wasomaji mtakao kuwa mnafahamu kuhusu hii issue bac mm na jukwaa kwa ujumla tuna subiri...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Najiuliza mwenyewe nakosa jibu. Nimesoma thread za time travel nikahisi ni unabii 1. Nikiwa mdogo miaka ya 84 mzee wa nzengo alituambia tukiwa watu wengi alituambia ya kuwa, kwenye mkuyu ule...
4 Reactions
7 Replies
36K Views
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa! Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini? Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa?? Kwa nini tunazaa watoto? Tunawazaa Waje wafanye...
80 Reactions
397 Replies
46K Views
Baada ya rasimu kukamilika basi ni muda muafaka wa kuanza kujadili utekelezaji wa mambo muhimu yaliyomo katika rasimu.leo hii nimejikita kwenye suala nyeti la ulinzi na usalama hasa hasa...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Anaendelea tulivofika Rusumo tuliambiwa kwamba kuna uchaguzi utafanyika Uko Tanzania lakin kuna chama kimoja ambacho kilipanga mkakati tokea miaka ya 1995 na mgombea mmoja alionekana kukubalika...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Kuna watu maalum, ambao wao kazi yao ni moja tu! Kuondosha uhai kwa njia ya risasi ama ajali ya kutengenezwa.. Kiingereza wanaitwa HIT MEN (HM). Hawa wana kibali kinaitwa license to kill (LTK)...
120 Reactions
424 Replies
94K Views
Nimekaa nikiyatafakari baadhi ya maandiko ambayo niliyasoma mahali na kubaini mapungufu fulani yenye ka chembechembe ka upotoshaji. Kisha nikajiuliza swali je, nani atawajibika endapo mawazo...
0 Reactions
11 Replies
705 Views
FAHAMU KUHUSU HUMAN CLONING Neno "cloning" linamaana ya kwamba ni kile kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe kingine ili kutafuta mfanano sawa katika mahabara•••...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
A globalist cabal comprising less than one thousandth of one percent of humanity has succeeded in injecting over 10 billion doses of a lethal poison into at least 4.84 billion people. It’s a...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Shambulio la 9/11, mwaka 2001, maarufu kama September ,11 attacks. Hili ndio shambulio la kigaidi liliouwa watu wengi kwa mara moja katika historia ya dunia ,watu 2,977 walikufa na zaidi ya...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
I have never questioned the faith of a person when it comes to someone’s religion. Your beliefs are your own. But when things like this pass you by, you have to start to think the validity of that...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda niongee kifupi kuwasilisha hoja yangu iliyokaa kama swali. Nimekuwa nikisikia hasa waumini wa Kristo wakisema maneno kama Mungu nipiganie,Mungu amenipigania,Yesu amevishinda vita rohoni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa imani imeanzishwa mahususi kuwa sera kuu ya kampeni inayofanywa na kikundi cha viumbe tusiowafahamu vizuri iwe kwa ubii, wajihi au maumbile zaidi ya kuamini mapokeo ya kile...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
EROTOMANIA. Hili Ni Tatizo La Kisaikolojia Ambapo Mtu Anakua Na Imani Kwamba Mtu Fulani Ananipenda Mfano Mimi Naamini Kabisa Kwamba Msichana/Mwanamke Fulani Ananipenda Wakati Sio Na Wala Hana Ata...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari zenu nyote, Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
JE UNAFAHAMU JINA HALISI LA JOSEPH KABILA ANAITWA "HYPOLITE KANAMBE KAZEMBEREMBE"? NA NI MTOTO WA KUFIKIA WA LAURENT DESIRE KABILA?. Na.Comred Mbwana Allyamtu Sunday -26/5/2019. Kyala Marangu...
7 Reactions
30 Replies
10K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku...
15 Reactions
411 Replies
69K Views
Tangu tumekuwa katika hii sayari tumekuwa tukifikiri Kuna hichi kitu "Freewill!". Ukweli mchungu ni huu,mazingira hayajatupa hiyo nafasi yakuwa na uhuru wa maamuzi ktk kila kitu ama kwa asilimia...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom