Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Katika ulimwengu tunaoishi tumefumbwa vingi na wachache werevu pengine ni kwa makusudi au ni kwa malengo fulani ambayo hili yatimie imewapasa kufanya hivyo, Leo naomba kugusia interest za wana...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kila mtu amesikia au kuoana kwa uhalisia, taarifa au katika filamu mateso na ukatili binadamu wanaofanyiana kati yao. Tofauti katika mateso ya binadamu mmoja kwa mwingine na yale wanayofanyiana...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hodi wakuu wataalam wa mambo. Leo ninahitaji mnisaidie jambo moja kuhusu nguvu iliyopo ndani ya damu inasababishwa na nini? Damu kimekuwa ni kitu ambacho kinaaminika kubeba maajabu na nguvu za...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
KUNA USEMI HADI LEO WANAAMINI KUWA SIKU MOJA MBINGUNI NI SIKU ELFU MOJA DUNIANI ILA UKIANGALIA DUNIA IMEPITA MIAKA ZAIDI YA BILLIONI OF YEARS HADI PALE WALIPO JUA KUHESABU NA KUANZA MWAKA 1 HADI...
12 Reactions
242 Replies
22K Views
napenda kuwakilisha kwa machungu kabisa wizi wa wazi wazi unaofanywa na Kampuni ya simu ya VODACOM... Vodacom imekua na dealers wengi Tanzania nzima na katika hao dealers wengi pia wanateua...
0 Reactions
192 Replies
28K Views
'Kufa kufaana' tupo duniani 'kuchumia tumbo' na hakuna dhambi nikitenda dhambi kwa sababu ipo hili niitende niishi, Niende moja kwa moja kwenye hoja:- Lengo la kutengeneza silaha nikuua watu, nia...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Salute! "Nina uhakika wote kuwa tukio lile litakuwa la mwisho kutoka kwenye ubongo wangu. Watu walishangilia nilipoinama kuzoa damu ya mama'ngu sakafuni. Nilishuhudia kwa macho wakichinjwa...
52 Reactions
193 Replies
51K Views
Katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Msumbiji(1977-1992). Tanzania ilikuwa ikiwaunga mkono wajamaa wenzao FRELIMO dhidi ya RENAMO. Kawaida tulikuwa tukiaminishwa kuwa RENAMO ni waovu wasiofaa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa Warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza. Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna masuala ambayo kila mara lazima ujiulize maswali mengi, Kwa upande wangu nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya dini sana , mpaka nikawa mkristo mahili sana , lakin kadri muda ulivyokuwa...
20 Reactions
259 Replies
34K Views
Unapochaguliwa kuwa Rais wa nchi ni lazima kwanza uhakikishe kuwa Intelligence ya Taifa unaloliongoza iko imara kuliko chochote. Yaani hata panya lazima ujue anawaza nini,siyo rahisi kwa Taifa...
27 Reactions
54 Replies
6K Views
Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina. Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3...
15 Reactions
113 Replies
13K Views
Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu...
11 Reactions
67 Replies
9K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna msemo una sema " ukitaka kuleta maendeleo ktk taifa lolote, badili au weka mfumo mzuri wa Elimu". Hivyo Basi naomba kuwasilisha kwa wadau swali langu kuwa; "Elimu...
1 Reactions
2 Replies
770 Views
Mada ya timetravel sio ngeni hapa JF ila tumekuwa tukijadili labda ule ushaidi wa charlie chaplin wakati wamemaliza kurekodi ikaonekana mtu hana ongea na simu wakati miaka hiyo kuanzia simu...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Moja kwa moja mada yahusika Hivi msingi wa kuogopa kifo kwa wanadamu ni nini? Unaweza pata experience yoyote? Kwamba kuna maumivu au baada ya kufa ndio kuna maumivu? Hata mimi najua nitakufa...
11 Reactions
87 Replies
12K Views
Maneno ya Marehemu Remmy Ongala katika wimbo wa Kilio ukiyasikiliza kwa makini yanaleta hoja nzuri nzuri juu ya mapokeo ya dini, ujio wa Yesu na namna wakoloni walivyotuchota na kutulisha matango...
5 Reactions
132 Replies
10K Views
Baada ya Mwenyezi Mungu kumpa Mchoro kamili wa Ramani ya SAFINA nabii NUHU:- Unadhani Kwa Ufahamu unaoujua wewe au Kwa Dini uliyoisoma wewe, Huyu Nabii Nuhu alitengenezaje Boti ile Kubwa zaidi...
14 Reactions
87 Replies
13K Views
1) Vita ya Nyuklia (Nuclear Armagedon) Bomu moja la Nyuklia lina uwezo wa kusababisha kifo kwa asilimia 80 hadi 95 kutoka eneo lililoripuliwa kuelekea umbali wa kipenyo cha Km 4 ingawa uharibifu...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Good day wakuu! Baada ya kupona dhoruba la kunyimwa Uhuru wa kubanguana bongo....tuendelee kupeana vitu adimu na adhimu kwa afya ya ubongo..maandishi yenye kuprovoke thought and intellectual...
208 Reactions
610 Replies
121K Views
Back
Top Bottom