Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Superspy bwana Ashraf Marwan alikutwa amekufa huko Nchi Uingereza katika jiji la London alipokuwa akiishi katika jumba aghali la kupanga la Carlton house.
Mwamba huyo "Angel" inasemekana alikuwa...
ENGLISH
1. Nearly 30 Percent of Tanzania is National Parks.
2. Mount Kilimanjaro is the Tallest Mountain in Africa
3. The Great Migration Sees Over 2 Million Animals Travel Across the Plains...
Ni kwa jinsi gani dhana ya 'Mungu muweza wa yote' na dhana ya kuwa 'Binadamu ana utashi huru' vinaweza kusimama bila kuhitilafiana?
Nimekuwa nikijaribu kuzisimamisha hizi dhana mbili kwa pamoja...
Clay Banks
One misconception a lot of folks have is that intelligent people get by easily in every aspect of life — that they are destined for success. They think belonging to the top of the...
Habari za leo wana JF ni kipindi kirefu sijaweka mada humu kutokana na majukumu mawili matatu ila leo nimeweka hii mada ili tuendelee kujifunza kwa pamoja masuala mbalimbali ya ulimwengu huu...
Majaribio mbali mbali yamekwisha faulu kuhusu kuishi ndani ya maji Bahani mfano kuundwa kwa nyambizi na hotel za kitalii chini ya bahari mfano mjini Unguja Zanzibar.
Wingi wa watu duniani,dunia...
FAHAMU SAYARI ZETU 8 ZILIVYOJIUNDA 🤔
Sayari zimeanza kujiunda mara baada tu ya mfumo wetu wa Jua ulivyomaliza kuundika kutokana na mawingu mazito yenye gesi na mavumbi mavumbi yatokayo huko...
Siku zijazo vyakula vitakuwa vinaprintwa kama wasemavyo wanasayansi...
Moja ya aina ya baga 'Vegan burge' iliyotengenezwa maabara
Wakati dunia ikiwa katika mjadala mkubwa kuhusu mabadiliko ya...
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.)
Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya...
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na maandiko mengineyo yanajaribu kusimulia jinsi Mungu alivyoumba malaika, binaadamu na viumbe vinginevyo.
Vitabu hivyo vinaanzia masimulizi hata kabla ya uwepo...
Natoa Hai kwa wanajukwaa was Jf. Ni matumaini yangu ya kwamba muwazima wa aftya tele.
Natoa shukurani zangu nyingi kwa muumba mbingu,dunia na vitu vyote vinavyouzunguka ulimwengu ambaye ni Mungu...
Eratosthenes wa Kirene alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia, historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri. Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa...
Habari. Kwa wasiojua, Leo napenda niwape Elimu juu ya Mungu kutoka Misri ya kale aliyeitwa "Amen". Misri ya kale ambayo Vitabu hivi vya sasa huita ni taifa lililolaaniwa kuna mambo mengi sana...
Kutokana na maombi ya baadhi ya wanachama wa Jamii Forums waliokuja PM kuniomba niandike kile ambacho ninakifahamu kuhusiana na kupotea kunakostaajabisha kwa dege la shirika la ndege la...
Kwame nkurumah ndiye rais wa kwanza wa Ghana alizaliwa mwaka 1909 na miaka 13 baadaye alizaliwa rais wa kwanza wa Tanganyika na baadaye Tanzania Julius Nyerere. Kwame Nkrumah anafahamika kwa...
KAMA NITAKUKWAZA WEWE UNAYE SOMA UZI HUU NAOMBA UNISAMEHE MAANA NAKWENDA KUONGELEA ELIMU YA KWELI KUHUSU DINI NA CHANZO CHAKE.
Tutazungumza kwa urefu zaidi jinsi dini fulani fulani zilivyoanza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.