Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
  • Closed
Aliyekuwa Waziri wa Utalii, akisakata Dansi nchini ujerumani alipokwenda kwenye maonyesho ya Utalii mjini Berlin, Daah hivi kwa style hii kama nchi tutatoboa kweli?
4 Reactions
52 Replies
16K Views
VPN
6 Reactions
1 Replies
3K Views
Nyalandu anasubiri Sub kwenye benchi la Csm
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Bado tupo naye yule yule bingwa wa vikatuni. Leo hii naona kaibuka na yanayoendelea pale kwa kina Matonya lakini sijui kwa vifaa hivi alivyoamua kuingia navyo sijui ana maanisha nini.
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Naona pale Uwanjani sijui kulikuwa na jua sijui mvua! Nyuso za watu zimetamalaki. Wamechoka na kuna wengine wamesinzia. Nafikiri wana usingizi mzito wa weekend!
13 Reactions
106 Replies
18K Views
Kuna kampeni ya Waislamu dhidi ya kampuni ya Nike kwamba imeweka jina "Allah" kwenye viatu na Waislamu wanakuja juu kwamba alama hiyo iondolewe. Ukweli ni kwamba Nike walikuwa wameandika "AIMAX"...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Wakandarasi wanafanya kazi masaa 24/7.
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish. Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana...
15 Reactions
257 Replies
92K Views
Nimeona picha hii sijui alikuwa kiongozi ila mpaka kifo kimemfikia naona kwao alikuwa kashindwa kupaendeleza. Hivi hawa watu wapo
2 Reactions
89 Replies
7K Views
Kenyan Governor launching a cow
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Yule gwiji wa habari picha maarufu kama Kipanya leo kaibuka na makundi yaliyo ibuka ndani ya CCM. Tafadhali mwenye uelewa wa kusoma habari picha atujuze zaidi sisi kina kwangu pakavu kwenye mambo...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake Mungu anawaona
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kutambua ni aina gani ya mawe hii mana sijaelewa kabisa au nimepata kokoto?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom