Dada zetu waliopo Ulaya wanaofanya kazi za kuwaangalia wazungu wazee sana na wenye matatizo ya akili hayo ndio yanayo wakuta dada zetu. Kutafuta pesa kazi sana Pole yake dada yangu huyu.
Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa...
Kufuatia vibonzo vya Masoud Kipanya kupenyeza ujumbe fulani wa muhimu nimependezwa kuona kuwa vibonzo vyake vyote vya kila siku view updated kwenye huu uzi tukijadili ujumbe uliokusudiwa.
WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI KWA MTINDO MPYA, WAMEJIFUNIKA MDOMO KWA KARATASI NA GUNDI
Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua...
Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM.
My Take...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.