Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Wanapendelea kuedit picha kule fb baba lao huyu apa mwamba Akiwa na avengers Akiwa na fast and Furious 7 Vip na hapa Akiwa na Harry Potter
15 Reactions
15 Replies
3K Views
Ole wako uchukue zigo la kuvunja chaga, usitoe mahari... Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Matokeo haya hayakutegemewa.. nadhani heri wasinge tumia mabilion kwa kazi hii ambayo imefeli
13 Reactions
39 Replies
3K Views
[emoji116]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kweli?
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu ! Shikamoo Wajumbe .
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Nikikutana na situation Kama hii, ni Mama Kwanza. 1. Boss ni mlugaluga hata elimu nimemzidi. 2. Baba ameparalaizi, mgonjwa. Data zake zote nazipata kwa mama 3. Mpenzi siyo ndugu yangu, hana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello great thinkers andika ulicho elewa kwenye hio picha
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ulinzi uko imara[emoji28]
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Beirut,Lebanon Mlipuko mkubwa umetokea, Chanzo bado kina utata(Tani 2750 za Ammonium Nitrate au Shambulio?) MBUZI WA KAFARA: Meli moja inayomilikiwa na Kampuni kutoka Urusi ikiwa na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Beauty is a wonderful genre of photography and Photography is just an addition of beauty to life. photography includes commercial and editorial imagery.Some people have nailed it in creating some...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Mhe. Waziri Mkuu uliahidi bungeni kuwa serikali itaacha kununua Mashangingi na itaanza kutumia magari yasiyozidi 2000 CC. Lini ahad yako itaanza kutekelezwa? Inauma kuendelea kulipa kodi a ajili...
6 Reactions
63 Replies
12K Views
Kama hujaelewa hilo sio kosa, kosa ni kwa atakayeelewa!
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Atakayepatia nampatia zawadi
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Nime Miss sana zile picha za katuni za kwenye magazeti ya zamani. Mwenye picha za wale wa kina madenge . Yule jamaa harakati za pimbi., Wa kina kifimbo cheza. Yule mwingine mnyooo was fidodido...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Back
Top Bottom