Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Mwigizaji Maarufu Kanumba akicheza muziki siku ya Kaole Day, hii nimeipenda sana wasanii wengi waliopitia Kaole pia walikuwepo, Hongera sana msiache mbachao kwa mswala upitao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale mnaoshindwa kusoma sms zenu, bibi amekuja na staili hii....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kicheko toka moyoni
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua Bajaj ambayo imetengenezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonesho yaliyoandaliwa na Kampuni ya Spray and...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mjadala wa katiba mpya ukiendelea
0 Reactions
11 Replies
2K Views
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr></tr><tr><td class="kaziBold" align="left" valign="top"> </td> </tr>...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani hii picha nimekutana nayo ningependa kuwajua hawa waliopiga picha na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kama kuna mtu anawafahamu kwa majina tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawatakia weekend njema wadau.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kipaji cha huyu dada inabidi kifanyiwe kazi...lakini kama tujuavyo our leaders don't appreciate promoting talent...:angry:
6 Reactions
38 Replies
5K Views
,Nimepata mesage huyu jamaa ni designer,Natafuta contacts ya huyu designer, kuna ndugu yangu angependa kuandaa harusi na mavazi itakuwa ya asilia as these
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ujaji mgumu jamani ukimtazama Mheshmiwa Jaji Mama Angela Kileo hapo hajajiremba kitu chichote hakuna cha kusuka hata twende kilioni, hakuna wanja wala lipshine wala mkufu wala make up ya aina...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Huyu jamaa kanenepa mpaka anashindwa hata kunyenyuka!!!
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wamependeza za hawa. Teh teh teh
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mohamed Al Fayed poses in front of the statue of Michael Jackson at Fulham's Craven Cottage. Photograph: Str/EPA
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Je kwa mwendo huu kweli mambo yatakwenda? Nahisi hawa ni mamluki wa chama cha rangi za kijani waliotumika kuzomea kwenye kongamano pale UDSM.................
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mimi mweusi lakini huyu kazidi
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na na Mbunge wa Jimbo la Kawe,Halima Mdee kutoka CHADEMA.
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka,huyo mbwa sasa atapekuliwa nini wakati hajavaa kitu....!!!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Poleni kwa kazi na starehe, sasa naona vikombe vimekuwa ndo deal ya kukimbilia sasa je ni yupi wa ukweli na ni yupi anachakachua wadau saidieni hapa:frown:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom